KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Behemoth spiritHabari.
Juzi nilikuwa kwenye harusi ya ndugu. Wakati wa kupata chakula kuna jamaa alikuwa anakula hatarii alikula sahani saba hadi kamati ya chakula wakakataa kumpa chakula kingine alikuwa bado anadai. Nini kinasababisha mtu kula sana wataalam??
Ukute hizo sahani saba alikuwa ana onja tu, kula alikuwa bado hajaanza. 🤣🤣Habari.
Juzi nilikuwa kwenye harusi ya ndugu. Wakati wa kupata chakula kuna jamaa alikuwa anakula hatarii alikula sahani saba hadi kamati ya chakula wakakataa kumpa chakula kingine alikuwa bado anadai. Nini kinasababisha mtu kula sana wataalam??
Ukute hizo sahani saba alikuwa ana onja tu, kula alikuwa bado hajaanza.
Mkuu hata sahani za visosi vya chai, 7 huwezi vimaliza kwa mlo wa kawaida.sahani 7 itategemea zina ujazo gani sio mnapimia watu ujazo wa kikombe kimoja cha chai na wakisema hawajashiba mnawaona walafi.! na hii inachangiwa na tabia ya wenye sherehe kuwachangisha watu pesa ndefu utasikia single 50,000 alafu akifika kwenye hiyo sherehe mnataka alambelambe tu sio kushiba wakati 50 yake inamuuma lazima afukie kisawa sawa
Tulikuwa naye 'power Mwamgiga', anakula ndoo ya wali ya lt10, galoni la maziwa, mkungu wa ndizi na creti la soda ndiyo anashiba.Habari.
Juzi nilikuwa kwenye harusi ya ndugu. Wakati wa kupata chakula kuna jamaa alikuwa anakula hatarii alikula sahani saba hadi kamati ya chakula wakakataa kumpa chakula kingine alikuwa bado anadai. Nini kinasababisha mtu kula sana wataalam??
Kweli kabisaKweli?
Nafikiri anafidia mchango wake wa harusi...Habari.
Juzi nilikuwa kwenye harusi ya ndugu. Wakati wa kupata chakula kuna jamaa alikuwa anakula hatarii alikula sahani saba hadi kamati ya chakula wakakataa kumpa chakula kingine alikuwa bado anadai. Nini kinasababisha mtu kula sana wataalam??
Hapa umetupigaTulikuwa naye 'power Mwamgiga', anakula ndoo ya wali ya lt10, galoni la maziwa, mkungu wa ndizi na creti la soda ndiyo anashiba.
Soda anafungulia ukucha.
Akitaka kubeba maji, ni pipa mbili zinajazwa halafu mzega wa kubebea ni mwamba wa nguzo za simu za Ttcl, mwanaume anaondoka nazo.
Gari mbili anazizuia kwa mkono mkavu.
Chai yake ni chai ya maziwa birika zima na mkate unakatwa kati kati kwa mkono unafinywa na kusokomezwa mdomoni, hataki silesi!
Mgekutana na mtu wa hivyo, mgelimwandika kwa kulalamika na kujaza server.
Duu huyo ni kibokoKweli kabisa
Mwingine alimaliza chapati 15(zenye ujazo),supu ya 5000 na chupa ya chai kubwa ile ya 3.2L
Siku hizi umepunguza?Katika harakati za kutafuta maisha nilikuwa mwenye najipikia
unga wa dona nusu kilo na nyongeza mboga mbaazi nusu ya robo bila kusahau kuna visamaki flani vinaitwa nguruka vya kurumangia pembeni
hiyo ngoma Moro.
Kazi ngumuuu
asee nilikata body na hapo kumbuka unakula asbh na usiku tu.
Acha uongo, nilikula sahani nne...ya tano nilikula nusu tu...na ile ya sita nilienda kula kwenye gari wakati wa kuondoka ya saba nilienda kulia nyumbaniHabari.
Juzi nilikuwa kwenye harusi ya ndugu. Wakati wa kupata chakula kuna jamaa alikuwa anakula hatarii alikula sahani saba hadi kamati ya chakula wakakataa kumpa chakula kingine alikuwa bado anadai. Nini kinasababisha mtu kula sana wataalam??
Ndio, nilikaa kwenye foleniSahani 7 kabisa, yaani anakula anamaliza anaenda kupanga foleni tena?
Ulimaliza chakula waliokuja mwishoni walikosaAcha uongo, nilikula sahani nne...ya tano nilikula nusu tu...na ile ya sita nilienda kula kwenye gari wakati wa kuondoka ya saba nilienda kulia nyumbani
Umekuja kunisema huku ili iweje?