ngalelefijo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 3,966
- 2,596
Genius responseMkuu viongozi unaowatetea ni hawa hawa wanaoingia madarakani kwa kutukana uchaguzi? Kuingia madarakani kwa kunajisi uchaguzi ni zaidi ya hayo matusi yanayokuliza. Tunapotaka chaguzi za haki, ni pamoja na viongozi watakaopatikana kwa haki wawe na uhalali wa kudai kuheshimiwa.