Kuna watu wanaleta utamaduni wa ovyo wa kutukana viongozi wa nchi. Ndugu zangu hiyo sio demokrasia

Kuna watu wanaleta utamaduni wa ovyo wa kutukana viongozi wa nchi. Ndugu zangu hiyo sio demokrasia

Mkuu viongozi unaowatetea ni hawa hawa wanaoingia madarakani kwa kutukana uchaguzi? Kuingia madarakani kwa kunajisi uchaguzi ni zaidi ya hayo matusi yanayokuliza. Tunapotaka chaguzi za haki, ni pamoja na viongozi watakaopatikana kwa haki wawe na uhalali wa kudai kuheshimiwa.
Genius response
 
Unatupotezea muda kuandika uzi wa kipumbavu.ni bora wananchii wanaotukana viongozi kuliko viongozi wanaohujumu taifa.watatukanwa sana wasipojirekebisha.waache kazi au wasimamie ustawi wa TAIFA.
 
Na vipi kuhusu viongozi wanaotukana wananchi? Hivi kiongozi anayesema watu wameota mikia au kuwaita wanachi mbwa anastahili kuheshimiwa kweli?
 
Back
Top Bottom