Kuna watu wanamshindanisha Diamond Platnumz na Cristiano Ronaldo

Hapo unakosea mkuu wealth inakuwa accumulated overtime kwa logic yako inamaana watu kipato chao hakiwafanyi waongezeke utajiri. Tofauti ya hela za ronaldo na mtu wa hand to mouth ni kwamba hand to mouth unapata hela unakula lakini kina ronaldo wanapata hela zina accumulate kwenye njia mbali mbali, bank interests, investments etc ndo mana wanakuja kuwa mabilionea kama kina jordan, jay z kina bill gates etc.
 
Hizi figures zako ni over empirical if you know what I'm saying.
 
Ndio maana nimeongelea asset, cash etc. Unapo pata kipato chako ukanunua Nyumba ama Gari then ule ni Utajiri wako ita count mbele ya safari.
 
Kama kuna figure Unahisi ni ya uongo ongea nitakupa source.
Najua hizo import/export businesses ni biashara walifanya baba zake kina gulam, Azim miaka mingi tangu enzi za mwinyi, korosho, pamba sijui karanga etc sema hizo figure zako uki compare na national figures napata ukakasi sana ngoja nikuoneshe national figures alafu uniambie kama kweli zinaendana .
 
Mmh Hii bidii ya kumjua mo na utajiri wake.....
ungetumia kusaka zako na ww ungekuwa bilionea bila shaka....
Ama ungekuwa mwanafunzi bora darasani kwa kukusanya data na kuzikumbuka
 
Mmh Hii bidii ya kumjua mo na utajiri wake.....
ungetumia kusaka zako na ww ungekuwa bilionea bila shaka....
Ama ungekuwa mwanafunzi bora darasani kwa kukusanya data na kuzikumbuka
Kila mtu ana dreams zake kwenye maisha, pengine mimi dreams zangu ni "kukusanya tu namba" si kila mtu ana Dream ya kuwa Bilionea.
 
Wewe bado Sana.
 
Mmh Hii bidii ya kumjua mo na utajiri wake.....
ungetumia kusaka zako na ww ungekuwa bilionea bila shaka....
Ama ungekuwa mwanafunzi bora darasani kwa kukusanya data na kuzikumbuka
Inahitaji mtu mwenye akili sana kuwa na data kama za mkwawa. Inawezekana wewe una data nyingi sana za muvi za ngono kila mtu anafatilia mambo yake anayotaka kufatilia usiumize kichwa sana kuchunguza akili za wenzio. Ndo mana kuna majitu mengine yanakuja huku yakiona kitu mtu kaongea yanatukana tukana yanaishia kupata mvua za matusi ya kutosha. Usijisumbue ukateseka kuchambua akili za mtu mwingine fanya yako.
 
Akili hizo zinaelekezwa kubaya full of knowledge ambazo ni west......
ndio maana mnabaki kushangaa mambo ya wenzenu ambayo ni positive....
 
Hajalinganishwa Diamond na Cr7
Wamelinganisha magari, kwamba analomiliki Cr7 ndilo analomiliki Sadala, ufupi wako wa kufikili ndio umekufanya mpaka uje anzisha hii thread, hata ingekuw wanamfananisha kwa mtu mwenye akili timamu hawezi tilia maanani mabishano ya aina hyo, coz mshahara wa mwezi wa Cr7 ni sawa na pesa anayoikusanya Sadala kwa mwaka.
 
Huna hata akili wewe cr7 kwa mwaka anapata $64 mill yani kwa mwezi ni almost $5.4 mill yaani kwa akili yako sadala anakusanya $5.4 mill kwa mwaka? Kusaga mwenyewe mwenye redio ya sadala hagusi hiyo hela kwa mwaka.
 
Huna hata akili wewe cr7 kwa mwaka anapata $64 mill yani kwa mwezi ni almost $5.4 mill yaani kwa akili yako sadala anakusanya $5.4 mill kwa mwaka? Kusaga mwenyewe mwenye redio ya sadala hagusi hiyo hela kwa mwaka.
Ok, nmefanya makadilio tu, cfahamu pia nazani nawe hufahamu Diamond anaingiza kisi gani kwa mwaka hyo nmeweka kuona tofauti tu, haijalishi hata kama akakusanya zaidi ya $10 kwa mwaka ni tofauti kubwa nahuyo anaekusanya kwa mwezi.
Na pia kipato cha Diamond hakitegemei Radio tu mpaka umlinganishe na kusagampaka umlinganishe na kusaga.
 
Ukitoa redio hana cha maana, kwani mara ya mwisho umemuona kapiga show ni lini na anajigamba analipwa $25,000 kwa show. Youtube kwa bongo hela yake siyo nyingi kivile, endorsement za kibongo bongo zina utata utata. Labda kama kuna wadau wanambebesha unga anaposafiri.
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚yani ili mradi tu, eti views youtube hawalipi, endorsement zinautata.
Haya tuambie kuhusu spotfy, na platform nyinginezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ