Kuna watu wanamshindanisha Diamond Platnumz na Cristiano Ronaldo

Ubilionea haupimwi na pato lako la zamani, kama Utajiri unapimwa hivyo basi wengi humu tungekuwa mamilionea. Unapimwa na thamani ya mwaka huu. Hivyo kama anaingiza $64M kwa mwaka haimaaanishi baada ya miaka 10 eti ile $64M bado itakuwepo tu, hizi ni hesabu za kitoto.

Jichukulie mfano wewe am mfanyakazi Serikalini analipwa 700,000 kwa mwezi, baada ya mwaka ni 8.4 milioni na baada ya miaka kumi ni milioni 84, haimaaanishi eti baada ya miaka 10 mfanyakazi atakuwa na milioni 84, Bali atakuwa vile vile kawaida tu, sababu ile Hela imeshaenda kwenye Ada, kodi za Nyumba, hela ya tuition, michepuko, etc.

Hivyo huwezi kuleta kigezo cha hela aliyoingiza zamani kwa Utajiri wa Leo, Utajiri unapimwa kwa pato la sasa. Kiasi cha benki, thamani za Asset etc.
Hapo unakosea mkuu wealth inakuwa accumulated overtime kwa logic yako inamaana watu kipato chao hakiwafanyi waongezeke utajiri. Tofauti ya hela za ronaldo na mtu wa hand to mouth ni kwamba hand to mouth unapata hela unakula lakini kina ronaldo wanapata hela zina accumulate kwenye njia mbali mbali, bank interests, investments etc ndo mana wanakuja kuwa mabilionea kama kina jordan, jay z kina bill gates etc.
 
Kodi ya watu wa Soka pia ni kubwa wanakatwa 35 mpaka 45% ya kipato chao wasichokitumia. Na kila hela wanayolipwa haimaaanishi ni Thamani yao wanalipa mishahara, wanatumia na wao kama binadamu wengine, wanalipa kodi ya Nyumba etc. There is a reason hakuna Mwanasoka Bilionea so far.

Kuhusu MO mkuu Hebu twende Taratibu.

-MO ni exporter mkubwa wa mitiki, quality ndogo ya mitiki cubic meter ni $900 quality kubwa mpaka $1500 kontena la futi 20 ni Cubic meter 33, so tunaongelea milioni 60 mpaka 120 hivi kwa Container. Jamaa ana Yard nzima, kuna kipindi kila wiki zinaingia gari kama 10 toka mashambani huko Tanga ama Morogoro, so easily tunaongelea Mamia ya macontainer na Revenue makumi ya Bilioni.

-kwenye Katani jamaa ana Heka 40,000 na production yale ni Tani 10,000 kwa mwaka, bei ya Tani sasa hivi ni $850 mpaka $900 hivyo tunaongelea Dola milioni 8 ama 9 hivi ambayo ni zaidi ya bilioni 20.

-Njoo Pamba hapa napo tunaongelea Tani 30,000 mpaka 45,000 ambayo roughly ni hizo Bilioni 30 mpaka 45 haijakuja processed hapo, kiwanda cha nguo cha MO kina capacity ya kutengeneza Mita milioni 100 kwa mwaka, mita moja ya Fabric inategemea ya nini at minimum sokoni ni 1000 ila inaenda mpaka 8000 hivyo tunaongelea market ya mamia ya Bilioni.

Nikupe tu comparison moja hapa, Tanzania Nzima ina heka milioni 86, Metl mashamba wanayohudumia kwenye Pamba tu heka milioni 5.

-kwenye Mawese/crude oil jamaa anaingiza Tani 120,000 kwa mwaka bei ya Tani ni Around $600 hivyo anaspend around $72m kwenye hili, hii ni raw Material tu ya kiwanda ni around bilioni 200 bado haijatoka Final product ambayo ina Thamani zaidi.

Hivi Vyote mkuu, nimebase Kwenye kitu kimoja tu Agriculture, na sijamaliza mazao yote, kuna Korosho hapo, mbaazi, dengu na mengine mengi hata Sina ya Angalia ila tayari tunavuka Bilioni 500 tayari. Bado kuna viwanda na biashara etc. Na hio ni Tanzania tu jamaa yupo Nchi 12.

Naona uvivu kuweka source ya kila kitu, ukihitaji source ya data yoyote unayoitilia mashaka niambie nitakuekea.
Hizi figures zako ni over empirical if you know what I'm saying.
 
Hapo unakosea mkuu wealth inakuwa accumulated overtime kwa logic yako inamaana watu kipato chao hakiwafanyi waongezeke utajiri. Tofauti ya hela za ronaldo na mtu wa hand to mouth ni kwamba hand to mouth unapata hela unakula lakini kina ronaldo wanapata hela zina accumulate kwenye njia mbali mbali, bank interests, investments etc ndo mana wanakuja kuwa mabilionea kama kina jordan, jay z kina bill gates etc.
Ndio maana nimeongelea asset, cash etc. Unapo pata kipato chako ukanunua Nyumba ama Gari then ule ni Utajiri wako ita count mbele ya safari.
 
Kama kuna figure Unahisi ni ya uongo ongea nitakupa source.
Najua hizo import/export businesses ni biashara walifanya baba zake kina gulam, Azim miaka mingi tangu enzi za mwinyi, korosho, pamba sijui karanga etc sema hizo figure zako uki compare na national figures napata ukakasi sana ngoja nikuoneshe national figures alafu uniambie kama kweli zinaendana .
 
Kodi ya watu wa Soka pia ni kubwa wanakatwa 35 mpaka 45% ya kipato chao wasichokitumia. Na kila hela wanayolipwa haimaaanishi ni Thamani yao wanalipa mishahara, wanatumia na wao kama binadamu wengine, wanalipa kodi ya Nyumba etc. There is a reason hakuna Mwanasoka Bilionea so far.

Kuhusu MO mkuu Hebu twende Taratibu.

-MO ni exporter mkubwa wa mitiki, quality ndogo ya mitiki cubic meter ni $900 quality kubwa mpaka $1500 kontena la futi 20 ni Cubic meter 33, so tunaongelea milioni 60 mpaka 120 hivi kwa Container. Jamaa ana Yard nzima, kuna kipindi kila wiki zinaingia gari kama 10 toka mashambani huko Tanga ama Morogoro, so easily tunaongelea Mamia ya macontainer na Revenue makumi ya Bilioni.

-kwenye Katani jamaa ana Heka 40,000 na production yale ni Tani 10,000 kwa mwaka, bei ya Tani sasa hivi ni $850 mpaka $900 hivyo tunaongelea Dola milioni 8 ama 9 hivi ambayo ni zaidi ya bilioni 20.

-Njoo Pamba hapa napo tunaongelea Tani 30,000 mpaka 45,000 ambayo roughly ni hizo Bilioni 30 mpaka 45 haijakuja processed hapo, kiwanda cha nguo cha MO kina capacity ya kutengeneza Mita milioni 100 kwa mwaka, mita moja ya Fabric inategemea ya nini at minimum sokoni ni 1000 ila inaenda mpaka 8000 hivyo tunaongelea market ya mamia ya Bilioni.

Nikupe tu comparison moja hapa, Tanzania Nzima ina heka milioni 86, Metl mashamba wanayohudumia kwenye Pamba tu heka milioni 5.

-kwenye Mawese/crude oil jamaa anaingiza Tani 120,000 kwa mwaka bei ya Tani ni Around $600 hivyo anaspend around $72m kwenye hili, hii ni raw Material tu ya kiwanda ni around bilioni 200 bado haijatoka Final product ambayo ina Thamani zaidi.

Hivi Vyote mkuu, nimebase Kwenye kitu kimoja tu Agriculture, na sijamaliza mazao yote, kuna Korosho hapo, mbaazi, dengu na mengine mengi hata Sina ya Angalia ila tayari tunavuka Bilioni 500 tayari. Bado kuna viwanda na biashara etc. Na hio ni Tanzania tu jamaa yupo Nchi 12.

Naona uvivu kuweka source ya kila kitu, ukihitaji source ya data yoyote unayoitilia mashaka niambie nitakuekea.
Mmh Hii bidii ya kumjua mo na utajiri wake.....
ungetumia kusaka zako na ww ungekuwa bilionea bila shaka....
Ama ungekuwa mwanafunzi bora darasani kwa kukusanya data na kuzikumbuka
 
Kila mtu ana dreams zake kwenye maisha, pengine mimi dreams zangu ni "kukusanya tu namba" si kila mtu ana Dream ya kuwa Bilionea.
 
Kuwa serious blaza na moyo wako, ukimtoa Bakhresa, hao wengine seriously unaamini kabisa machapisho ya kubuni ya forbes Africa ambako hakuna namna ya uhakika ya kujua mali za mtu zaidi ya kauli yake, kweli bro unaamini hao jamaa wana hela ya Ronaldo?

Muandishi mwenyewe wa forbes Africa ni moja tu mfonabong yule wa kujitolea, tapeli Mo si anamhonga tuu amuite billionea ili apate credit score za kukopa hela kubwa benki kwa hela za baba zake wakubwa.

Eti mengi dah, Rostam jamani tusimkufuru Mungu. Nioneshe hela zao najua Rostam kauza shea za voda dola million 200 na ushee ila ana financial setbacks kama zotee.

Ronaldo hata Bakhresa hana hela yake broo tena Cash. Sijui Tanzania ipi unaongelea wewe labda babu magu hela yake.
Wewe bado Sana.
 
Mmh Hii bidii ya kumjua mo na utajiri wake.....
ungetumia kusaka zako na ww ungekuwa bilionea bila shaka....
Ama ungekuwa mwanafunzi bora darasani kwa kukusanya data na kuzikumbuka
Inahitaji mtu mwenye akili sana kuwa na data kama za mkwawa. Inawezekana wewe una data nyingi sana za muvi za ngono kila mtu anafatilia mambo yake anayotaka kufatilia usiumize kichwa sana kuchunguza akili za wenzio. Ndo mana kuna majitu mengine yanakuja huku yakiona kitu mtu kaongea yanatukana tukana yanaishia kupata mvua za matusi ya kutosha. Usijisumbue ukateseka kuchambua akili za mtu mwingine fanya yako.
 
Akili hizo zinaelekezwa kubaya full of knowledge ambazo ni west......
ndio maana mnabaki kushangaa mambo ya wenzenu ambayo ni positive....
 
Hajalinganishwa Diamond na Cr7
Wamelinganisha magari, kwamba analomiliki Cr7 ndilo analomiliki Sadala, ufupi wako wa kufikili ndio umekufanya mpaka uje anzisha hii thread, hata ingekuw wanamfananisha kwa mtu mwenye akili timamu hawezi tilia maanani mabishano ya aina hyo, coz mshahara wa mwezi wa Cr7 ni sawa na pesa anayoikusanya Sadala kwa mwaka.
 
Huna hata akili wewe cr7 kwa mwaka anapata $64 mill yani kwa mwezi ni almost $5.4 mill yaani kwa akili yako sadala anakusanya $5.4 mill kwa mwaka? Kusaga mwenyewe mwenye redio ya sadala hagusi hiyo hela kwa mwaka.
 
Ok, nmefanya makadilio tu, cfahamu pia nazani nawe hufahamu Diamond anaingiza kisi gani kwa mwaka hyo nmeweka kuona tofauti tu, haijalishi hata kama akakusanya zaidi ya $10 kwa mwaka ni tofauti kubwa nahuyo anaekusanya kwa mwezi.
Na pia kipato cha Diamond hakitegemei Radio tu mpaka umlinganishe na kusagampaka umlinganishe na kusaga.
 
Ukitoa redio hana cha maana, kwani mara ya mwisho umemuona kapiga show ni lini na anajigamba analipwa $25,000 kwa show. Youtube kwa bongo hela yake siyo nyingi kivile, endorsement za kibongo bongo zina utata utata. Labda kama kuna wadau wanambebesha unga anaposafiri.
 
😂😂😂yani ili mradi tu, eti views youtube hawalipi, endorsement zinautata.
Haya tuambie kuhusu spotfy, na platform nyinginezo
 
Back
Top Bottom