Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Mfano mtu kama Rostam mbona Utajiri wake upo wazi tu?
-alikuwa na Hisa Vodacom Asilimia 35 kampuni yenye pato la zaidi ya Trilioni kwa mwaka, 2014 aliuza Asilimia 17 ya hisa za voda kwa $250m
-Ana Tenda za barick migodini mimachine kibao yake
-mabiashara mengine kibao kama Taifa Gas etc.
Ronaldo Ana networth ya $500m, Rostam kauza Asilimia 17 kwa 250M, ina maana 18 zilizobakia ni zaidi ya 250M hivyo Hisa za Voda tu tayari zina Thamani kuliko Utajiri wote wa Ronaldo, bado unafikiri ni Utajiri wa makaratasi?
Ukija kwa Mo ndio usiseme Anza Na LG Tanzania, Njoo TCL, njoo bajaji na mabrand kibao ya Kimataifa anaingiza yeye,
Sukari tu kwa mkupuo mmoja anaingiza mamia ya makontena,
Mafuta makumi ya makontena
Ana makampuni kibao unakuta bidhaa moja kama sabuni ana kampuni 3 Hadi 5 zinapambana zenyewe sokoni,
Vinywaji, mashamba, viwanda vya nguo, petroli na mambo kibao.
Kama Unahisi ule Utajiri hawana unaishi kwenye Ndoto mkuu,
Labda mtu aje aseme wanaficha Utajiri wao kidogo nitamulewa ila hawa jamaa wasikie tu hivi.
Anadha pipo hawapendi kuonyesha wazi utajiliwao. Wengine wanapenda misifa, wanaweza honga Forbes wakaingizwa kwenyi topten or 20.
Nikuulize swali mzehe. Ushaona topten yao or 20 akawemo na mwarabu? Wakati waalabu wanahella za kufa mtu kuriko wazungu.,, alakini kwenyi listi hawamo. Hebu nionyeshe top 10 or 20 kama wamo babaa.