Kuna watu wanamshindanisha Diamond Platnumz na Cristiano Ronaldo


Anadha pipo hawapendi kuonyesha wazi utajiliwao. Wengine wanapenda misifa, wanaweza honga Forbes wakaingizwa kwenyi topten or 20.


Nikuulize swali mzehe. Ushaona topten yao or 20 akawemo na mwarabu? Wakati waalabu wanahella za kufa mtu kuriko wazungu.,, alakini kwenyi listi hawamo. Hebu nionyeshe top 10 or 20 kama wamo babaa.
 
Yupo Ally Awadh, GSM, Marehemu Salim Turky etc. Kwa Tanzania.

Ama unamaanisha Kidunia?
 
Unahangaika bure kutoa explanations, hao wafanyabiashara unaowaongelea Ronaldo hawafikii hata kidogo. Real established business personalities unawalinganisha na mtu aliyesainishwa contract anategemea kulipwa na pesa za matangazo na endorsements.
Acha kabisa kudhalilisha business moguls kwa kuwalinganisha na muajiriwa.
 
Achana na huyo mnuka mkojo.

Anavyochekeana na MO anadhani ni mtu wa mchezo kama yeye.

Mwambie Metl ndo largest employer in private sector in Tz.

Alichangia 2.5% ya GDP (2011 estimates)
 
Toka lini shabiki wa Diamond akawa na akili.
 
Ungekua Hujaoa Ningekupa Dada Angu.
 
Kidunia mkuu
Kidunia Kwanza forbes hawa hesabu mtu yoyote Mwenye Utajiri unaohusiana na siasa.

Raisi wa zamani wa angola Do Santos ana hela Dangote haoni ndani, Utajiri Wake ni $20B lakini hahesabiwi.

Hivyo ukishaelewa hili utajua kwanini waarabu wengi hawapo kwenye list.

Kuna watu hazina za Taifa ndio Utajiri wao.

Na sio Waarabu tu kuna Royalty kibao Wana hela ndefu sana prince wa Thailand, Brunei, Luxembourg etc
 
Kwahiyo muundo wa hii gari ni SUV?...Nimeishia hapo tu nkaona kumbe walewale kipa katoka ujuaji mwingi kumbe hamna kitu
 
Kwahiyo muundo wa hii gari ni SUV?...Nimeishia hapo tu nkaona kumbe walewale kipa katoka ujuaji mwingi kumbe hamna kitu
Aisee unapojiona mjuaji kuona wengine washamba kumbe wewe ni bonge la shamba, kwaiyo G Wagon siyo SUV? Nzi kama nyie sijui mnakurupuka kutokea vyoo gani yaani.
 
Acheni kumfananisha MO na vitu vya ajabu.....View attachment 1878766
 
Reactions: Qwy
Safi sana[emoji3581] mkuu
 
Bado plantations za chai huko mbeya
 

Diamond na management yake wanapenda kusikiliza vya mtandaoni

eti ana gari za japan, kaamua kununua za marekani, no spare no fundis, hata akiagiza spare anaipack

kisa aonekane!!

mtaani diamond kashuka

utube anakimbwa na kiba

anachukiwa
 
Watu naona wanachanganya Dola milioni na hizi za madafu.
Kuna mtu kamuongelea rostam kuwa aliuza hisa zake.just fanya conversation of currency.
Ila dogo Ana hela bana
Mimi nimemuongelea rostam na nikakuandikia kabisa alilipwa dola million 220. It is in dollars not tsh
 
Mimi nimemuongelea rostam na nikakuandikia kabisa alilipwa dola million 220. It is in dollars not tsh
Alipata takribani 450 bilioni Tzs Ila hii hela dogo anayo.
Unajua Nike tu wanamlipa Bei gani.
Mana insta tu hela anayoipata Mana anao followers kibao
 
Alipata takribani 450 bilioni Tzs Ila hii hela dogo anayo.
Unajua Nike tu wanamlipa Bei gani.
Mana insta tu hela anayoipata Mana anao followers kibao
Sijakataa kuwa ronaldo hana pesa, anayo sana kuwa na ukwasi wa million 500 dollar siyo mchezo hyo no about 1.2 tillions tsh.
Nachosema kuna watanzania wahindi na watu kama rostam wana pesa nyingi pia. Sema ndiyo hivyo hawamiliki ma private jets wala ma yatch
 
Mnaongea vitu vya kipuuzi sana as if sisi hatufanyi biashara na climate ya biashara ilivyo bongo hatuijui. Eti wahindi.kwani unafikiri wahindi biashara zao wanauzia majini au wanauzia watu kama tunaouzia sisi? Hivi unajua $500 million dollars kwa ronaldo zilivyo rahisi kuzipata kwa jina alilo nalo tofauti na kazi ya kuwauzia wabongo maji na energy. Hakuna mtu hapendi kumiliki private jets bongo sema ugumu uko kwa jinsi ya kupata hiyo hela. Nimeenda mimi india hao wahindi wana private jets kama zote matajiri wa kwao mtu pekee najua bongo yuko vizuri kutoa $70million kununua private jet kama ya ronaldo kwa mbaali ni bakhresa kwa tabu sana hao wengine upupu labda kama hela zao ni za majini ila siyo kwa uchumi wetu huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…