Kuna watu wanamshindanisha Diamond Platnumz na Cristiano Ronaldo

Mkuuu huyu ni wa spana tu
Mpaka zimkae
Kunywa soda hapo nakuja kulipa
 
Mo huyuhuyu anayejidhalilisha Instagram? Watu wameshamahitukia tapeli tu hana lolote.
 
Hiyo hotel Mafia ipo booked 2 full years.

Labda wakati huu wa korona.
 
Mwambie huyo kijana.

Thanda kulala mpaka ukae miaka miwili ndo upate hiyo nafasi.
 
Kuna watu bado mnaamini mo ni billionea namba moja Tanzania [emoji23][emoji23] wakati chairman wa metl ni babaake na hata kwenye forbes hayupo. Sasa kama siyo kuhonga basi forbes wangekuwa na taarifa wangemtaja babaake kama billionea.

Ila mo tapeli sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Shida nini sasa, mada toka mwanzo tunazungumzia Matajiri Watanzania vs Ronaldo, hili lina mahusiano gani?

Na hao wahindi wengi tu wezi wanamuibia sana huyo MO.

Kampuni Za metl zinajiendesha independent, Ceo wa kampuni husika ndio anareport kwa Gulam, Huwa nadra kukuta huyo Mzee anadeal na muhindi moja kwa moja.
 
We unaota, kaperuzi vizuri mkuu. Huwezi mlinganisha Ronalo na hawa matajiri wakibongo. Tajiri namba 3 (Bakhresa ana zaidi ya USD 600 million. Fikiria kuhusu namba moja (MO 1.6 B USD) na namba 2 Rostam wako mbali kiasi gani.
 
Kila mtu ana dreams zake kwenye maisha, pengine mimi dreams zangu ni "kukusanya tu namba" si kila mtu ana Dream ya kuwa Bilionea.
Na hapo ndipo wengi tunafeli, kuna watu wanafikiri kila mtu anataka kuwa bilionea ilhali wapo watu ndoto zao ni kuwa na elimu bora na kuitumikia jamii tu. Wengine wana ndoto za kufanya kazi za kujitolea maadam anapata kipato cha kukidhi mahitaji yote ya muhimu na wengine wanatoa muda wao wote wa ziada hata bila malipo kutumia taaluma zao kuwasaidia wale wasiokuwa na fursa kabisa.
 
Alafu wenyewe hata pikipiki hawana, kutwa chokochoko kwa wengine tu
 
Si kweli mkuu, hiyo ni joint venture kati ya PESTANA GROUP na CR7. Na walianza kwa kuwekeza Euro million 75 miaka kadhaa iliyopita na kufungua hotel 2. Kumbuka kuna chain za mahotel yanaitwa Pestana hotel bila ya CR7 na ambayo ronaldo hausiki nayo kabisa. Hii Pestana group ni wakongwe kwenye hii tasnia tangu miaka ya 70 na wanatoka mji mmoja na CR7.Jitahii kuperuzi kabla ya kuleta ujuaji mwingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…