Kuna watu wanamshindanisha Diamond Platnumz na Cristiano Ronaldo

Kuna watu wanamshindanisha Diamond Platnumz na Cristiano Ronaldo

Mfano mtu kama Rostam mbona Utajiri wake upo wazi tu?
-alikuwa na Hisa Vodacom Asilimia 35 kampuni yenye pato la zaidi ya Trilioni kwa mwaka, 2014 aliuza Asilimia 17 ya hisa za voda kwa $250m
-Ana Tenda za barick migodini mimachine kibao yake
-mabiashara mengine kibao kama Taifa Gas etc.

Ronaldo Ana networth ya $500m, Rostam kauza Asilimia 17 kwa 250M, ina maana 18 zilizobakia ni zaidi ya 250M hivyo Hisa za Voda tu tayari zina Thamani kuliko Utajiri wote wa Ronaldo, bado unafikiri ni Utajiri wa makaratasi?

Ukija kwa Mo ndio usiseme Anza Na LG Tanzania, Njoo TCL, njoo bajaji na mabrand kibao ya Kimataifa anaingiza yeye,

Sukari tu kwa mkupuo mmoja anaingiza mamia ya makontena,

Mafuta makumi ya makontena

Ana makampuni kibao unakuta bidhaa moja kama sabuni ana kampuni 3 Hadi 5 zinapambana zenyewe sokoni,

Vinywaji, mashamba, viwanda vya nguo, petroli na mambo kibao.

Kama Unahisi ule Utajiri hawana unaishi kwenye Ndoto mkuu,

Labda mtu aje aseme wanaficha Utajiri wao kidogo nitamulewa ila hawa jamaa wasikie tu hivi.
Mkuuu huyu ni wa spana tu
Mpaka zimkae
Kunywa soda hapo nakuja kulipa
 
Tatizo lako wewe ni kua ni una mihemkooooo ya kipuuziii

Unaona na leo unakuja humu na mandege yako yamekuwaka hapo kichwani
Kwani mzee expensive SUV kutoka factory ni ipi kwanza


Unaona na leo exposure yako inavokuaibisha
Mo ana hela kuliko ronaldo unabisha nini sasa

Sema chief mkwawa namkubali hana papara yule

Anakupiga spana tena kama nilivokuweka spana unakaa sawa hapa ndo JF ukija tena tupo na wewe
Mo huyuhuyu anayejidhalilisha Instagram? Watu wameshamahitukia tapeli tu hana lolote.
 
Naona uvivu kutoa elimu. Gharama hoteli kulala na mapato ni vitu tofauti.
Hoteli yenu ya dola 33,000 iko mafia inakaa miaka mitatu bila kupata mteja gharama za mishahara, umeme vyakula vinaoza etc.

Ronaldo ana hoteli madeira pestana Spain nyota tano full wateja masaa 24/siku7 tena iko beach kwenye ufukwe wa bahari. Unakuja unasema eti hoteli ya bei mbaya iko tanzania, sawa kaijenge hata kijijini kwa babaako, weka chumb billioni 8 kwa siku kama hupati mteja miaka 100 huna biashara.View attachment 1882073
Hiyo hotel Mafia ipo booked 2 full years.

Labda wakati huu wa korona.
 
Mkuu unajua hio hotel uliyoweka mmiliki hata sio Ronaldo? Mmiliki wake anaitwa Pastana na Hotel pia inaitwa Pastana Cr7.

Na Thanda inatangazwa na kina Forbes, Business insider etc ina tuzo kibao kama Best Island In the world, Ukitaka kujua kama ina wateja ama LA Jaribu ku book sasa hivi utaambiwa Tarehe yako ya kwenda.
Mwambie huyo kijana.

Thanda kulala mpaka ukae miaka miwili ndo upate hiyo nafasi.
 
Inaweza sawa ikawa hivyo lakini hotel si kitu cha Utajiri kama unavyofikiria, mfano.

Hotel yake ya Madeira imefungwa biashara hakuna covid

Na according to hio Article hotel hizo za pastana zipo under threat hakuna Biashara.
Kuna watu bado mnaamini mo ni billionea namba moja Tanzania [emoji23][emoji23] wakati chairman wa metl ni babaake na hata kwenye forbes hayupo. Sasa kama siyo kuhonga basi forbes wangekuwa na taarifa wangemtaja babaake kama billionea.

Ila mo tapeli sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
IMG_20210810_110143.jpg
 
Kuna watu bado mnaamini mo ni billionea namba moja Tanzania [emoji23][emoji23] wakati chairman wa metl ni babaake na hata kwenye forbes hayupo. Sasa kama siyo kuhonga basi forbes wangekuwa na taarifa wangemtaja babaake kama billionea.

Ila mo tapeli sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1886961
Shida nini sasa, mada toka mwanzo tunazungumzia Matajiri Watanzania vs Ronaldo, hili lina mahusiano gani?

Na hao wahindi wengi tu wezi wanamuibia sana huyo MO.

Kampuni Za metl zinajiendesha independent, Ceo wa kampuni husika ndio anareport kwa Gulam, Huwa nadra kukuta huyo Mzee anadeal na muhindi moja kwa moja.
 
Sipati hata $10 million dollar kwa hivyo vyote ulivyoorozesha kwa mwaka kwa Mo. Hizo trading business hazina hela kivile kushindana na endorsement za ronaldo.
Rostam hauzi mashine kila mwaka na return zake ni long term sioni faida ya kumshindanisha na Ronaldo hizo leseni za simu voda walipeana kisiasa ndo wameuza zimewapa nguvu ccm that's it.
Ronaldo income ni zaidi ya $1billion so far. Na ana guarantee$64million per year.
We unaota, kaperuzi vizuri mkuu. Huwezi mlinganisha Ronalo na hawa matajiri wakibongo. Tajiri namba 3 (Bakhresa ana zaidi ya USD 600 million. Fikiria kuhusu namba moja (MO 1.6 B USD) na namba 2 Rostam wako mbali kiasi gani.
 
Kila mtu ana dreams zake kwenye maisha, pengine mimi dreams zangu ni "kukusanya tu namba" si kila mtu ana Dream ya kuwa Bilionea.
Na hapo ndipo wengi tunafeli, kuna watu wanafikiri kila mtu anataka kuwa bilionea ilhali wapo watu ndoto zao ni kuwa na elimu bora na kuitumikia jamii tu. Wengine wana ndoto za kufanya kazi za kujitolea maadam anapata kipato cha kukidhi mahitaji yote ya muhimu na wengine wanatoa muda wao wote wa ziada hata bila malipo kutumia taaluma zao kuwasaidia wale wasiokuwa na fursa kabisa.
 
Wee jamaa acha chuki kwa Diamond. Jamaa anahela hata kama ananunua magari kwa kuvizia. Kibongo bongo Diamond anamkwanja na hajawahi kujilinganisha na ronaldo.
Mwacheni mtoto wa Tandale avune alichopanda, maana hakuna asiyefaham jamaa ametafuta kwa shida.
Sijui kwanini tu diamond akipost kitu hasa magari mnam-attack kwa maneno.
Alafu wenyewe hata pikipiki hawana, kutwa chokochoko kwa wengine tu
 
Ni sawa tu na Kilimanjaro kempiski. Pestana cr7. Pestana ni chain kama serena, marriot, holiday inn, hilton, four seasons, intercontinental, au kama pepsi na cocacola. Ukiwa na hela na huna muda wa kuanza kujitangaza upya unajenga hoteli zako unawakabidhi hao jamaa wanazi manage kwa jina lao yani under licence wanatumia skills zao na uzoefu wao mnaingia mkataba ila mali ni yako. Kama serena au kempiski unaona kila mara wanabadilisha majina ila mmiliki ni yuleyule, mara Sheraton mara serena mara kempiski.
Si kweli mkuu, hiyo ni joint venture kati ya PESTANA GROUP na CR7. Na walianza kwa kuwekeza Euro million 75 miaka kadhaa iliyopita na kufungua hotel 2. Kumbuka kuna chain za mahotel yanaitwa Pestana hotel bila ya CR7 na ambayo ronaldo hausiki nayo kabisa. Hii Pestana group ni wakongwe kwenye hii tasnia tangu miaka ya 70 na wanatoka mji mmoja na CR7.Jitahii kuperuzi kabla ya kuleta ujuaji mwingi
 
Back
Top Bottom