Kuna watu wanamshindanisha Diamond Platnumz na Cristiano Ronaldo

Kuna watu wanamshindanisha Diamond Platnumz na Cristiano Ronaldo

Kuna uzi hapa pitia wanazungumziwa

Azim, Kasim na Dewji wengine ni jina tu kama una Sema Lyimo ama Tarimo.

Haimaaanishi watu wote wenye ubini wa kimaro ni ndugu.
Huo uzi wanapuyanga tu hao jamaa biashara zao wanaendesha kifamilia sana ndo mana wote uliowataja wana mpunga Azim, gullam, kasim ni kizazi kilichostaafu, Mo na wenzake ndo kizazi kilicho kwenye nguvu ya kupambana na utapeli, dhulma na unyang'anyi wa kila aina ya ufedhuli waliofanya baba zao sema Mo kizazi chao mademu wengi, na yeye akianza kuchoka atatafutwa kamanda mwingine kwenye ukoo wa kuendeleza utapeli.
 
Hapo unakosea mkuu wealth inakuwa accumulated overtime kwa logic yako inamaana watu kipato chao hakiwafanyi waongezeke utajiri. Tofauti ya hela za ronaldo na mtu wa hand to mouth ni kwamba hand to mouth unapata hela unakula lakini kina ronaldo wanapata hela zina accumulate kwenye njia mbali mbali, bank interests, investments etc ndo mana wanakuja kuwa mabilionea kama kina jordan, jay z kina bill gates etc.
Mkuu Ronaldo ameinvest kwenye nini na nini kinachomuingizia kipato?

Na kipato hicho ni kiasi gani?
 
Mkuu Ronaldo ameinvest kwenye nini na nini kinachomuingizia kipato?

Na kipato hicho ni kiasi gani?
Anamiliki hoteli za nyota tano morocco zaidi ya tatu pia ana chain ya hoteli za nyota tano portugal, subiria sana afulie
 
Hizo hotel zote zinaingiza kiasi kwa mwaka?[emoji23]
Kuliko Kempiski na sea cliff, na serena combined. Morroco ndiyo top european tourist destination kwa africa, pia ndege yake anakodisha kwa $3000kwa saa mwaka jana ndege imemuingizia millions of dollars.
Pia ameinvest kwenye brands, hotel chains, hair care, perfumes, fragrances, and many more.

Ana endorsement kubwa kubwa za Nike, Armani, Tag Heuer, PokerStars, and Castrol.
 
Kuliko ndiyo nini?

Yaan,sema hotel A inaingiza X

Hotel B inaingiza Y
 
Kuliko ndiyo nini?

Yaan,sema hotel A inaingiza X

Hotel B inaingiza Y
Kama hoteli iko third world mwa dunia inaingiza X imagine hoteli iliyoko ulaya inaingiza X ngapi.
 
Kama hoteli iko third world mwa dunia inaingiza X imagine hoteli iliyoko ulaya inaingiza X ngapi.
gharama ya hoteli ni huduma, eneo inachangia ila sio 100%, mfano katika hoteli ghali Duniani Thanda ipo, thanda ipo hapa Tanzania karibia na Mafia, kama unalala tu ni dola 33,000 (milioni 76), na kama unachukua huduma zote Hellcopter binafsi ya kukodisha na yatch ni dola 45,000 ( milioni 104).

hii ni hoteli ya mwisho wa dunia huku Tanzania, toa na wewe data za Hoteli ya Ulaya ya Ronaldo usiku mmoja inaingiza kiasi gani.
 
Tangu Mondi anunue Rolls-Royce kuna watu wamekuwa wanasema eti Mondi ndiyo next Bill Gates, wengine eti wametupia picha za Diamond na Rolls Royce yake culinan na kufananisha na Christian Ronaldo na Rolls-royce yake Phantom bila kujua kuwa phantom ni ghali zaidi ya culinan, na ukizingatia Ronaldo ya kwake lazima itakua special order hivyo itakua ghali maradufu kuliko phantom za kawaida, kuliko culinan la jamaa yetu la kuvizia nani anauza mtumba anunue.

Haya sasa kwakuwa umaarufu gharama Christiano Ronaldo kaposti gari mpya leo wiki moja baada ya kuposti Rolls Royce, leo kapost SUV la bei mbaya kuliko yote Mercedes Benz G63 Brabus, bei mara mbili ya culinan kiwandani achilia mbali special edition ya Ronaldo na ofa zake.

Nilisema huyu msanii kaingia cha kike unavunja kibubu cha miaka 10 unanunua gari la billioni wiki moja watu wananunua jingine la billioni tatu haya basi nenda na wewe ukanunue tunakuangalia kama una pumzi.

View attachment 1877966
Wee jamaa acha chuki kwa Diamond. Jamaa anahela hata kama ananunua magari kwa kuvizia. Kibongo bongo Diamond anamkwanja na hajawahi kujilinganisha na ronaldo.
Mwacheni mtoto wa Tandale avune alichopanda, maana hakuna asiyefaham jamaa ametafuta kwa shida.
Sijui kwanini tu diamond akipost kitu hasa magari mnam-attack kwa maneno.
 
Kama hoteli iko third world mwa dunia inaingiza X imagine hoteli iliyoko ulaya inaingiza X ngapi.
Wewe shabiki wa Diamond rudi shule.

Kulala Singita ni gharama kuliko kulala Shangri-La hapo Paris.

Hakuna hotel EU nzima yenye gharama za kulala kwa usiku mmoja kama Thanda hapo Mafia.
 
Tangu Mondi anunue Rolls-Royce kuna watu wamekuwa wanasema eti Mondi ndiyo next Bill Gates, wengine eti wametupia picha za Diamond na Rolls Royce yake culinan na kufananisha na Christian Ronaldo na Rolls-royce yake Phantom bila kujua kuwa phantom ni ghali zaidi ya culinan, na ukizingatia Ronaldo ya kwake lazima itakua special order hivyo itakua ghali maradufu kuliko phantom za kawaida, kuliko culinan la jamaa yetu la kuvizia nani anauza mtumba anunue.

Haya sasa kwakuwa umaarufu gharama Christiano Ronaldo kaposti gari mpya leo wiki moja baada ya kuposti Rolls Royce, leo kapost SUV la bei mbaya kuliko yote Mercedes Benz G63 Brabus, bei mara mbili ya culinan kiwandani achilia mbali special edition ya Ronaldo na ofa zake.

Nilisema huyu msanii kaingia cha kike unavunja kibubu cha miaka 10 unanunua gari la billioni wiki moja watu wananunua jingine la billioni tatu haya basi nenda na wewe ukanunue tunakuangalia kama una pumzi.

View attachment 1877966
Lazima watakuwa ni vichaa yani mnafananisha mbingu na nchi? Unamfananidha mtu anayeingia zaidi ya bilioni tatu kwa wiki na huyu mzaramo??

Dogo ana level zake za kushindanishwa Ila msimdharaulishe Christiano. Am not a hater Ila huo ndio ukweli tusijidanganye.
 
gharama ya hoteli ni huduma, eneo inachangia ila sio 100%, mfano katika hoteli ghali Duniani Thanda ipo, thanda ipo hapa Tanzania karibia na Mafia, kama unalala tu ni dola 33,000 (milioni 76), na kama unachukua huduma zote Hellcopter binafsi ya kukodisha na yatch ni dola 45,000 ( milioni 104).

hii ni hoteli ya mwisho wa dunia huku Tanzania, toa na wewe data za Hoteli ya Ulaya ya Ronaldo usiku mmoja inaingiza kiasi gani.
Naona uvivu kutoa elimu. Gharama hoteli kulala na mapato ni vitu tofauti.
Hoteli yenu ya dola 33,000 iko mafia inakaa miaka mitatu bila kupata mteja gharama za mishahara, umeme vyakula vinaoza etc.

Ronaldo ana hoteli madeira pestana Spain nyota tano full wateja masaa 24/siku7 tena iko beach kwenye ufukwe wa bahari. Unakuja unasema eti hoteli ya bei mbaya iko tanzania, sawa kaijenge hata kijijini kwa babaako, weka chumb billioni 8 kwa siku kama hupati mteja miaka 100 huna biashara.
pestana-cr7-hotel_1kdnccu7lxby51mps8qi7ym7ym.jpg
 
Wewe shabiki wa Diamond rudi shule.

Kulala Singita ni gharama kuliko kulala Shangri-La hapo Paris.

Hakuna hotel EU nzima yenye gharama za kulala kwa usiku mmoja kama Thanda hapo Mafia.
Kulala singita ni ghali ili kuzuia uchafu kwenda kulala pale ila wanakaa hata mwaka hawapati mteja hadi aje CR7 au wenzake.

Cr7 ana hoteli za nyota 5 ulaya. Hii ni Pestana CR7 hotel iko Lisbon Portugal. Ni nyota tano serena na Kempiski uchafu eti unamlinganisha na Moooo.View attachment 1882079View attachment 1882080
pestana_cr7_lisboa_facade_by_night.jpg
 
Kulala singita ni ghali ili kuzuia uchafu kwenda kulala pale ila wanakaa hata mwaka hawapati mteja hadi aje CR7 au wenzake.

Cr7 ana hoteli za nyota 5 ulaya. Hii ni Pestana CR7 hotel iko Lisbon Portugal. Ni nyota tano serena na Kempiski uchafu eti unamlinganisha na Moooo.View attachment 1882079View attachment 1882080View attachment 1882081
Ronaldo ana hoteli kubwa zaidi ya Verde hotel ya bakhresa ya zanzibar iko marakesh Morocco pia ana hoteli dubai na new york.View attachment 1882291
imagnges.jpg
 
Naona uvivu kutoa elimu. Gharama hoteli kulala na mapato ni vitu tofauti.
Hoteli yenu ya dola 33,000 iko mafia inakaa miaka mitatu bila kupata mteja gharama za mishahara, umeme vyakula vinaoza etc.

Ronaldo ana hoteli madeira pestana Spain nyota tano full wateja masaa 24/siku7 tena iko beach kwenye ufukwe wa bahari. Unakuja unasema eti hoteli ya bei mbaya iko tanzania, sawa kaijenge hata kijijini kwa babaako, weka chumb billioni 8 kwa siku kama hupati mteja miaka 100 huna biashara.View attachment 1882073
Mkuu unajua hio hotel uliyoweka mmiliki hata sio Ronaldo? Mmiliki wake anaitwa Pastana na Hotel pia inaitwa Pastana Cr7.

Na Thanda inatangazwa na kina Forbes, Business insider etc ina tuzo kibao kama Best Island In the world, Ukitaka kujua kama ina wateja ama LA Jaribu ku book sasa hivi utaambiwa Tarehe yako ya kwenda.
 
Ni sawa tu na Kilimanjaro kempiski. Pestana cr7. Pestana ni chain kama serena, marriot, holiday inn, hilton, four seasons, intercontinental, au kama pepsi na cocacola. Ukiwa na hela na huna muda wa kuanza kujitangaza upya unajenga hoteli zako unawakabidhi hao jamaa wanazi manage kwa jina lao yani under licence wanatumia skills zao na uzoefu wao mnaingia mkataba ila mali ni yako. Kama serena au kempiski unaona kila mara wanabadilisha majina ila mmiliki ni yuleyule, mara Sheraton mara serena mara kempiski.
 
Inaweza sawa ikawa hivyo lakini hotel si kitu cha Utajiri kama unavyofikiria, mfano.

Hotel yake ya Madeira imefungwa biashara hakuna covid

Na according to hio Article hotel hizo za pastana zipo under threat hakuna Biashara.
 
Kuwa serious blaza na moyo wako, ukimtoa Bakhresa, hao wengine seriously unaamini kabisa machapisho ya kubuni ya forbes Africa ambako hakuna namna ya uhakika ya kujua mali za mtu zaidi ya kauli yake, kweli bro unaamini hao jamaa wana hela ya Ronaldo?

Muandishi mwenyewe wa forbes Africa ni moja tu mfonabong yule wa kujitolea, tapeli Mo si anamhonga tuu amuite billionea ili apate credit score za kukopa hela kubwa benki kwa hela za baba zake wakubwa.

Eti mengi dah, Rostam jamani tusimkufuru Mungu. Nioneshe hela zao najua Rostam kauza shea za voda dola million 200 na ushee ila ana financial setbacks kama zotee.

Ronaldo hata Bakhresa hana hela yake broo tena Cash. Sijui Tanzania ipi unaongelea wewe labda babu magu hela yake.
Tatizo lako wewe ni kua ni una mihemkooooo ya kipuuziii

Unaona na leo unakuja humu na mandege yako yamekuwaka hapo kichwani
Kwani mzee expensive SUV kutoka factory ni ipi kwanza

Unaona na leo exposure yako inavokuaibisha
Mo ana hela kuliko ronaldo unabisha nini sasa

Sema chief mkwawa namkubali hana papara yule

Anakupiga spana tena kama nilivokuweka spana unakaa sawa hapa ndo JF ukija tena tupo na wewe
 
Back
Top Bottom