Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wameshakuletea mewani eeh?
Wakupe na ugoro Babu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wameshakuletea mewani eeh?
Wakupe na ugoro Babu
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Afu sikuhizi nimekua na tabia moja ya kuangalia who liked tu sijui kwanini
NakaziaHahahahahahaaaaaaaa.
Kuna mwingine alisema uzi wake unabuma baadhi ya member wakicomment.
Mnachekesha sana aisee.
Likes japo maana yake halisi ni ''Kupongeza" mimi naitumia pia kama kumpa mtu ujumbe kuwa nimepita sehemu aliyopita yeye na yeye akija kuangalia notification ya like niliyompa ataweza kuja kusoma nilichokiandika pia.
Hii kauli ingeenda sambamba na vitendoLeo mambo ni fireee simba wakifunga napost picha yangu jf
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Maisha Magumu hata Nukta Mtu Analike Ye Aona Comment
Muwe mna like kwa wema kwa shem wangu, sio unampa like halafu unamkimbilia chemba na kumuuliza "umeona kule nimekupa like?" Nanini nanini zisiwe nyingi. Ukimfata umfate na sms ya tigopesa mbele.kama wew Demmis hata ucheke tu like zinakufuata
Shem huu uandishi unaniashiria ulishawahi kupiga kile kijiti,,, ila mshukuru Mr Tunguli kwa kukunasua uliponasa.Wozaaaaaaa ila wewe [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Muwe mna like kwa wema kwa shem wangu, sio unampa like halafu unamkimbilia chemba na kumuuliza "umeona kule nimekupa like?" Nanini nanini zisiwe nyingi. Ukimfata umfate na sms ya tigopesa mbele.
Loooh ila shemu wewe hunipendi kwahiyo mr tunguli ndo ameniweka sawaaaShem huu uandishi unaniashiria ulishawahi kupiga kile kijiti,,, ila mshukuru Mr Tunguli kwa kukunasua uliponasa.
Hahahahahah! Inabidi kila mtu ajijengee umaarufu ili kupata likes za kutoshaKitu nimekigundua hii JF kuna watu hata wa comment ''ahahahha'' yaani wacheke ama hata kuweka nukta tu kwenye comment zao wanakula like za kutosha.
Namaana gani? like zinatoka kwa kufahamiana na umaarufu na siyo pointi ama hoja atoazo mtu.. mwingine hata aandike pointi kiasi gani raia wanapita kama hawaoni tetteteehh..
Like za hivi zinaenda sana kwa Ke sijui ndo njia mpya ya kupata attention kutoka kwao. wanaJF kuweni fair kutoa like..