Kuna watu wanapata like humu za ajabu

Nakazia
 
kama wew Demmis hata ucheke tu like zinakufuata
Muwe mna like kwa wema kwa shem wangu, sio unampa like halafu unamkimbilia chemba na kumuuliza "umeona kule nimekupa like?" Nanini nanini zisiwe nyingi. Ukimfata umfate na sms ya tigopesa mbele.
 
Muwe mna like kwa wema kwa shem wangu, sio unampa like halafu unamkimbilia chemba na kumuuliza "umeona kule nimekupa like?" Nanini nanini zisiwe nyingi. Ukimfata umfate na sms ya tigopesa mbele.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Shem huu uandishi unaniashiria ulishawahi kupiga kile kijiti,,, ila mshukuru Mr Tunguli kwa kukunasua uliponasa.
Loooh ila shemu wewe hunipendi kwahiyo mr tunguli ndo ameniweka sawaaa
 
Hahahahahah! Inabidi kila mtu ajijengee umaarufu ili kupata likes za kutosha
 
Mfano mimi, Sakie na pacha wangu hata wakiandika uchafu gani nawapa tu like

Mwingine ni Bi Faiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…