Kuna watu wanapata like humu za ajabu

Huu uzi karibia kila aliecoment kala like watu wanajifanya kama huwa wanalike kila siku
 
haya nimekupa like ...I hope utaacha kulalamika....aiseeee "" nilikuwa sijui kama humu kuna watu wanazibabaikia like "" ilhali haziongezi kasi ya Uchumi wamtu waka kimo chake """ ........
 
Da karibuni na kwangu nahitaji marafiki me n new jf ni meneja masoko jf welcome D Mtanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…