Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
Sjawahi pata like yako mkuu why?Rais wa Chit Chat ni Mimi kama hujui angalia historia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sjawahi pata like yako mkuu why?Rais wa Chit Chat ni Mimi kama hujui angalia historia
Why?No comment
[emoji205][emoji205][emoji205][emoji205]Naona umenipa zoezi hapa
Aliniambia alikutana na opposite ya beautiful!![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]loooh wewe nikikupigia video call haupokei toka siku tukutane sjui umeshanikimbia au
Ndio BabuUmeniita ili unigongee like au uchokozi wako tu?
Tunatofautiana mkuu, mbona mimi ni ME na bado napata like?Aha ha haaaa!
Kweli kabisa wala hujakoseaAliniambia alikutana na opposite ya beautiful!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Gonga likeNahisi na mimi ni bingwa wa kutoa like. Naweza kuwa hata sijasoma naweka like tu [emoji23][emoji23]
kula likeHahahahahahaaaaaaaa.
Kuna mwingine alisema uzi wake unabuma baadhi ya member wakicomment.
Mnachekesha sana aisee.
Likes japo maana yake halisi ni ''Kupongeza" mimi naitumia pia kama kumpa mtu ujumbe kuwa nimepita sehemu aliyopita yeye na yeye akija kuangalia notification ya like niliyompa ataweza kuja kusoma nilichokiandika pia.
Niko mwelekeo wa kupanda mlimani kukufanyia maombi...