Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Mfano
Kuna Ps
Kuna dereva
Halafu kuna wewe jumla mpo watatu mnadili na boss, mmoja boss anasafiri wote mna taarifa, watatu wengine hawana akitaka kusafiri au akiondoka wewe unawapa taarifa pc na dereva
Sasa akasafiri akatakiwa kurudi baada wiki mbili lakini gafla mambo yakabadilika akarudi baada ya siku moja, kabla ya kurudi unamuuliza dereva mmefika vipi? Kimya hajajibu sms kesho asubuhi unamuuliza tena vipi kaka ratiba zinaenda sawa? Kimya hajibu. Unaamua zako saa saba kunijimwaga kupumzika home gafla saa kumi boss anakutumia sms nipo njiani narudi unaanza wewe kukimbizana ili akukute pale kituoni wakati huo dereva anajua kila kitu na kakaa kimya
Ila wewe unawapa ishara zote ili waonekane wanawajibika vizuri ila wao ni kama wanaungana kukuharibia, hivi unaweza wachukuliaje?
Wanafika unamuuliza dereva vipi sms zangu haukuziona? Anacheka tu oh tutaongea. Hivi na mimi nikisema nianze kukaza fuvu kutowapa ishara tena nitakuwa nimekosea?