Kuna watu wanapenda uharibu kazi

Kuna watu wanapenda uharibu kazi

Hakuna watu wanoko kama madereva sio kabisa yaani wao ndo wasambazaji wa tetesi hata mambo ya site mnayakuta ofisini
 
Kazi yako wewe unafanya kwa kutegemea taarifa kutoka kwa mtu mwingine?

Mkuu kazini hakuna mtu anataka ufanikiwe wala hakuna mshikaji wa kukupa taarifa au michongo, hivyo unajitafutia mwenyewe.
 
Back
Top Bottom