Koloko
JF-Expert Member
- Jul 6, 2026
- 285
- 531
Niliwahi kusafiri na gari la mizigo kuelekea malawi tulipofika maeneo ya karibu na mzuzu mall
Nikapaki gari maana muda ulikuwa umeenda sana tukapaki gari kwenye sheri moja hivi ya puma tukalala pale kesho yake asubuhi
Nikatoka kuomba msaada wa kupushiwa gari yetu maana ilikuwa ina changamoto ya starter
Nikakutana na mzee mmoja nikamsalimia vizuri nikamuomba anaelekeze wapi naweza nikapata vijana kusukuma gari yule mzee alianza kwanza kwa kunishangaa na akaniambia "imekuwaje unaongea kingereza na wengi wenu hamuongei kabisa kiingereza ni kwamba hamjui na kwa nini hamjui akati kiingereza ni lugha ya kuwasiliana na kila mtu umeona umeweza kuwasiliana na mimi hali ya kuwa mimi mmalawi na wewe ni mtanzania" wengi wetu hatujui ni kwa sababu hatujataka kujifunza