A
Anonymous
Guest
Kero yangu ni kuhusu vituo vya mafuta vya mitaani kuhusika katika uuzaji wa mafuta ya diesel kinyemela katika Kijiji cha Sukamahera, Wilaya ya Manyoni.
Lori za mafuta zimekuwa na kawaida ya kuuza mafuta kwa wafanyabiashara ya “sheli Bubu” na mafuta hayo yanahifadhiwa katika nyumba za makazi ya watu. Ni risks kwa sisi wengine.
Pia soma ~ Serikali yazindua mradi wa Mikopo nafuu ujenzi wa Vituo Vidogo vya Mafuta Vijijini, kusaidia wanaohifadhi mafuta ndani ya nyumba