Kuna watu Waongo, halafu kuna Prof. Kitila, "Madumu ya Maji yamepotea Dar, ashukuriwe Rais". Dar ipi hiyo???

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,183
Reaction score
2,100
"Kwa miaka mingi sana Jimbo la Kibamba lililopo wilaya ya Ubungo limekuwa na shida kubwa ya maji katika mkoa wa Dar es Salaam, hata hivyo mama (Rais Samia Suluhu Hassan) ulisikia kilio cha wananchi wa jimbo hili kilichopazwa kwa niaba yao na Mbunge wao Mheshimiwa Issa Mtemvu, hatimaye serikali yako imesikia, ikafanywa miradi mikubwa sana ya maji, Mheshimiwa Waziri wa Maji akaja pale, imetekelezwa miradi mikubwa na sasa huwezi kuamini wananchi wa Madale, Msigani na maeneo mengi ya Kibamba kwamba na wao wanapata maji, jambo hili ni kubwa sana. Kwahiyo Mheshimiwa Rais, Jimbo la Kibamba ambalo lilikuwa lina shida kubwa ya maji, kwa kiasi kikubwa shida hiyo imetatuliwa.

Lakini ukiacha takwimu, nani asiyejua kwamba Dar es Salaam hii, miaka michache iliyopita ilikuwa imekolea madumu ya maji, akina mama wakisaka maji. Kwahiyo mambo haya siyo takwimu za kwenye makaratasi, ni hali halisi madumu Dar es Salaam yamepotea"- Prof. Kitila.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Ubungo Profesa Kitila Mkumbo akizungumza wakati wa uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Maji ya Mwaka 2002 Toleo la Mwaka 2025 uliofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan

Uzinduzi huu umefanyika siku ya Jumamosi Machi 22, 2025 mkoani Dar es Salaam katika Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City.
IMG_7042.jpeg
 
Kama Dar ni shida ya maji alafu huko vijijini wasemaje.

Kuna wale wapuuzi hapa JF kutwa nzima na nyuzi zao za ccm na bibi yao cha usiku.
 
"Kwa miaka mingi sana Jimbo la Kibamba lililopo wilaya ya Ubungo limekuwa na shida kubwa ya maji katika mkoa wa Dar es Salaam, hata hivyo mama (Rais Samia Suluhu Hassan) ulisikia kilio cha wananchi wa jimbo hili kilichopazwa kwa niaba yao na Mbunge wao Mheshimiwa Issa Mtemvu, hatimaye serikali yako imesikia, ikafanywa miradi mikubwa sana ya maji, Mheshimiwa Waziri wa Maji akaja pale, imetekelezwa miradi mikubwa na sasa huwezi kuamini wananchi wa Madale, Msigani na maeneo mengi ya Kibamba kwamba na wao wanapata maji, jambo hili ni kubwa sana. Kwahiyo Mheshimiwa Rais, Jimbo la Kibamba ambalo lilikuwa lina shida kubwa ya maji, kwa kiasi kikubwa shida hiyo imetatuliwa.

Lakini ukiacha takwimu, nani asiyejua kwamba Dar es Salaam hii, miaka michache iliyopita ilikuwa imekolea madumu ya maji, akina mama wakisaka maji. Kwahiyo mambo haya siyo takwimu za kwenye makaratasi, ni hali halisi madumu Dar es Salaam yamepotea"- Prof. Kitila.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Ubungo Profesa Kitila Mkumbo akizungumza wakati wa uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Maji ya Mwaka 2002 Toleo la Mwaka 2025 uliofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan

Uzinduzi huu umefanyika siku ya Jumamosi Machi 22, 2025 mkoani Dar es Salaam katika Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City.View attachment 3280186
Huwa wwnajitoa ufaham in the publick, hii ni ugonjwa gani? Wanadhan watu ni wajinga?
 
Kama kuna uwongo viongozi wa serikali wanasema ni issue ya maji!.
Hio msigani aliyo sema waziri embu akaulize tena wasaidizi wake.

Kwenye swala la madumu ya maji afute tu kauli yake!
Vyumba vyetu havija jazwa na vitu vingine ila madumu.

Ukitaka maisha yako hapa dar yawe magumu kosa madumu ya kuhifadhia maji .
 
Profesa anaongea amejiamini sana. Huenda huyu ni miongoni mwa think tank wa inji hii
 
Kama kuna uwongo viongozi wa serikali wanasema ni issue ya maji!.
Hio msigani aliyo sema waziri embu akaulize tena wasaidizi wake.

Kwenye swala la madumu ya maji afute tu kauli yake!
Vyumba vyetu havija jazwa na vitu vingine ila madumu.

Ukitaka maisha yako hapa dar yawe magumu kosa madumu ya kuhifadhia maji .
Na kuna maeneo hata maji safi na salama ya bomba hakuna kama Chanika, Mvuti, Msongola, Homboza nk.
 
"Kwa miaka mingi sana Jimbo la Kibamba lililopo wilaya ya Ubungo limekuwa na shida kubwa ya maji katika mkoa wa Dar es Salaam, hata hivyo mama (Rais Samia Suluhu Hassan) ulisikia kilio cha wananchi wa jimbo hili kilichopazwa kwa niaba yao na Mbunge wao Mheshimiwa Issa Mtemvu, hatimaye serikali yako imesikia, ikafanywa miradi mikubwa sana ya maji, Mheshimiwa Waziri wa Maji akaja pale, imetekelezwa miradi mikubwa na sasa huwezi kuamini wananchi wa Madale, Msigani na maeneo mengi ya Kibamba kwamba na wao wanapata maji, jambo hili ni kubwa sana. Kwahiyo Mheshimiwa Rais, Jimbo la Kibamba ambalo lilikuwa lina shida kubwa ya maji, kwa kiasi kikubwa shida hiyo imetatuliwa.

Lakini ukiacha takwimu, nani asiyejua kwamba Dar es Salaam hii, miaka michache iliyopita ilikuwa imekolea madumu ya maji, akina mama wakisaka maji. Kwahiyo mambo haya siyo takwimu za kwenye makaratasi, ni hali halisi madumu Dar es Salaam yamepotea"- Prof. Kitila.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Ubungo Profesa Kitila Mkumbo akizungumza wakati wa uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Maji ya Mwaka 2002 Toleo la Mwaka 2025 uliofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan

Uzinduzi huu umefanyika siku ya Jumamosi Machi 22, 2025 mkoani Dar es Salaam katika Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City.View attachment 3280186
Ulitakiwa uoneshe hayo madumu.Kuja kupinga bila kuonesha madumu ni wivu na chuki zinakusumbua
 
Yaani kama kuna mtu anadanganywa hapa duniani basi ni mama. Mama unadanganywa ili tu wayajaze matumbo yao. Haya tunayoyasema ipo siku atayathibitisha.
Juzi kati hapa wataalamu wa fedha walitudanganya kwamba dolla imeshuka thamani, hadi kufikia dolla moja kwa shilingi elfu 2400 *KIko wapi[ jana nimepita beural de change moja hapa Dar na kubaini kwamba dolla moja ni sawa na shilingi 2700 na ushehe. Hapa wameufyata mkia hakuna anae ongea
 
Hawa jamaa ni waongo 😂😂😂, labda nyumba za matajiri ndio wanakosa madumu, ndoo na majaba kwakua wanatumia matenk na wananunua maji chap pale yanapowakatia kwenye matenki yao.

Ila huku chini bila ndoo, madumu, jaba na tenk la kuzugia hutoboi.
 
"Kwa miaka mingi sana Jimbo la Kibamba lililopo wilaya ya Ubungo limekuwa na shida kubwa ya maji katika mkoa wa Dar es Salaam, hata hivyo mama (Rais Samia Suluhu Hassan) ulisikia kilio cha wananchi wa jimbo hili kilichopazwa kwa niaba yao na Mbunge wao Mheshimiwa Issa Mtemvu, hatimaye serikali yako imesikia, ikafanywa miradi mikubwa sana ya maji, Mheshimiwa Waziri wa Maji akaja pale, imetekelezwa miradi mikubwa na sasa huwezi kuamini wananchi wa Madale, Msigani na maeneo mengi ya Kibamba kwamba na wao wanapata maji, jambo hili ni kubwa sana. Kwahiyo Mheshimiwa Rais, Jimbo la Kibamba ambalo lilikuwa lina shida kubwa ya maji, kwa kiasi kikubwa shida hiyo imetatuliwa.

Lakini ukiacha takwimu, nani asiyejua kwamba Dar es Salaam hii, miaka michache iliyopita ilikuwa imekolea madumu ya maji, akina mama wakisaka maji. Kwahiyo mambo haya siyo takwimu za kwenye makaratasi, ni hali halisi madumu Dar es Salaam yamepotea"- Prof. Kitila.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Ubungo Profesa Kitila Mkumbo akizungumza wakati wa uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Maji ya Mwaka 2002 Toleo la Mwaka 2025 uliofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan

Uzinduzi huu umefanyika siku ya Jumamosi Machi 22, 2025 mkoani Dar es Salaam katika Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City.View attachment 3280186
Chama Cha mazezeta wanadanganyana
 
Back
Top Bottom