Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,183
- 2,100
Huwa wwnajitoa ufaham in the publick, hii ni ugonjwa gani? Wanadhan watu ni wajinga?"Kwa miaka mingi sana Jimbo la Kibamba lililopo wilaya ya Ubungo limekuwa na shida kubwa ya maji katika mkoa wa Dar es Salaam, hata hivyo mama (Rais Samia Suluhu Hassan) ulisikia kilio cha wananchi wa jimbo hili kilichopazwa kwa niaba yao na Mbunge wao Mheshimiwa Issa Mtemvu, hatimaye serikali yako imesikia, ikafanywa miradi mikubwa sana ya maji, Mheshimiwa Waziri wa Maji akaja pale, imetekelezwa miradi mikubwa na sasa huwezi kuamini wananchi wa Madale, Msigani na maeneo mengi ya Kibamba kwamba na wao wanapata maji, jambo hili ni kubwa sana. Kwahiyo Mheshimiwa Rais, Jimbo la Kibamba ambalo lilikuwa lina shida kubwa ya maji, kwa kiasi kikubwa shida hiyo imetatuliwa.
Lakini ukiacha takwimu, nani asiyejua kwamba Dar es Salaam hii, miaka michache iliyopita ilikuwa imekolea madumu ya maji, akina mama wakisaka maji. Kwahiyo mambo haya siyo takwimu za kwenye makaratasi, ni hali halisi madumu Dar es Salaam yamepotea"- Prof. Kitila.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Ubungo Profesa Kitila Mkumbo akizungumza wakati wa uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Maji ya Mwaka 2002 Toleo la Mwaka 2025 uliofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan
Uzinduzi huu umefanyika siku ya Jumamosi Machi 22, 2025 mkoani Dar es Salaam katika Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City.View attachment 3280186
Na kuna maeneo hata maji safi na salama ya bomba hakuna kama Chanika, Mvuti, Msongola, Homboza nk.Kama kuna uwongo viongozi wa serikali wanasema ni issue ya maji!.
Hio msigani aliyo sema waziri embu akaulize tena wasaidizi wake.
Kwenye swala la madumu ya maji afute tu kauli yake!
Vyumba vyetu havija jazwa na vitu vingine ila madumu.
Ukitaka maisha yako hapa dar yawe magumu kosa madumu ya kuhifadhia maji .
Ulitakiwa uoneshe hayo madumu.Kuja kupinga bila kuonesha madumu ni wivu na chuki zinakusumbua"Kwa miaka mingi sana Jimbo la Kibamba lililopo wilaya ya Ubungo limekuwa na shida kubwa ya maji katika mkoa wa Dar es Salaam, hata hivyo mama (Rais Samia Suluhu Hassan) ulisikia kilio cha wananchi wa jimbo hili kilichopazwa kwa niaba yao na Mbunge wao Mheshimiwa Issa Mtemvu, hatimaye serikali yako imesikia, ikafanywa miradi mikubwa sana ya maji, Mheshimiwa Waziri wa Maji akaja pale, imetekelezwa miradi mikubwa na sasa huwezi kuamini wananchi wa Madale, Msigani na maeneo mengi ya Kibamba kwamba na wao wanapata maji, jambo hili ni kubwa sana. Kwahiyo Mheshimiwa Rais, Jimbo la Kibamba ambalo lilikuwa lina shida kubwa ya maji, kwa kiasi kikubwa shida hiyo imetatuliwa.
Lakini ukiacha takwimu, nani asiyejua kwamba Dar es Salaam hii, miaka michache iliyopita ilikuwa imekolea madumu ya maji, akina mama wakisaka maji. Kwahiyo mambo haya siyo takwimu za kwenye makaratasi, ni hali halisi madumu Dar es Salaam yamepotea"- Prof. Kitila.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Ubungo Profesa Kitila Mkumbo akizungumza wakati wa uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Maji ya Mwaka 2002 Toleo la Mwaka 2025 uliofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan
Uzinduzi huu umefanyika siku ya Jumamosi Machi 22, 2025 mkoani Dar es Salaam katika Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City.View attachment 3280186
Chama Cha mazezeta wanadanganyana"Kwa miaka mingi sana Jimbo la Kibamba lililopo wilaya ya Ubungo limekuwa na shida kubwa ya maji katika mkoa wa Dar es Salaam, hata hivyo mama (Rais Samia Suluhu Hassan) ulisikia kilio cha wananchi wa jimbo hili kilichopazwa kwa niaba yao na Mbunge wao Mheshimiwa Issa Mtemvu, hatimaye serikali yako imesikia, ikafanywa miradi mikubwa sana ya maji, Mheshimiwa Waziri wa Maji akaja pale, imetekelezwa miradi mikubwa na sasa huwezi kuamini wananchi wa Madale, Msigani na maeneo mengi ya Kibamba kwamba na wao wanapata maji, jambo hili ni kubwa sana. Kwahiyo Mheshimiwa Rais, Jimbo la Kibamba ambalo lilikuwa lina shida kubwa ya maji, kwa kiasi kikubwa shida hiyo imetatuliwa.