Vumilieni tu kama ambavyo nasi pia mara kwa mara Mwenzenu Waziri wa Fedha Dk. Nchemba akiwa anatuchamba mpaka Kutudhihaki huwa tunavumilia na wala hatumfanyi kuwa ni Adui yetu kwani tunajua kuwa huo ni Utani wetu akina Kulwa na Doto wa Kariakoo Mmoja akiwa Mafurikoni na mwingine akiwa Sokoni kwa Wajanja na Watu wa Mjini na Mipango.