Usijilaumu mkuu, wewe ni binadamu, una moyo wa nyama, hivyo unavyojiskia ni kawaida kwa yeyote aliyeumizwa. Maumivu ya nyuma huwa hayaondoki kisa muda umepita.Mimi hapa na trauma ya kutokwenda kwa Shangazi yangu kwa kipindi kirefu.Pia bila kujali hisia zamapitio huko nyuma basi huwa na hofu sana.Wakati mwingine najilaumu sanaa.Muda mwingine nawakumbuka sana.
Kama hakuna ubaya aliwahi kukutenda jitahidi juu chini uende kumuona... Ikatokea ametangulia mbele za haki KABLA ya kuonana naye..uta feel guilty sanaMimi hapa na trauma ya kutokwenda kwa Shangazi yangu kwa kipindi kirefu.Pia bila kujali hisia zamapitio huko nyuma basi huwa na hofu sana.Wakati mwingine najilaumu sanaa.Muda mwingine nawakumbuka sana.
Tutasema hatuna nauli 😂Sasa na sie tuliohama nchi na hatujarudi mwaka wa 14 huu tusemeje hapa?