GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Kama aliyewahi kuwa katibu mkuu wa Wizara nchini anaweza kutapeliwa akiona, wanyonge halisi hufanyweje?
Mama Zahara aliwahi kuwa katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, lakini bado alitapeliwa kiwanja chake na Mzee Mushi. Yaelekea Mushi ni mbabe sana. Hawaopgopi wasomi wala viongozi wala Serikali.
Pamoja na mama Zahara kumshinda mahakamani, hilo halikumwezesha kurejeshewa kiwanja chake. Kwa hapo, ni kama vile Mushi ana nguvu kuizidi mahakama.
Ina maana kuna watu nchi hii wameiweka Serikali mfukoni kiasi kwamba wanaweza kudhulumu watakavyo bila kubughudhiwa?