Kuna watu wenye nguvu nchini kuizidi Serikali?

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2023
Posts
7,189
Reaction score
10,375
Kama aliyewahi kuwa katibu mkuu wa Wizara nchini anaweza kutapeliwa akiona, wanyonge halisi hufanyweje?

Mama Zahara aliwahi kuwa katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, lakini bado alitapeliwa kiwanja chake na Mzee Mushi. Yaelekea Mushi ni mbabe sana. Hawaopgopi wasomi wala viongozi wala Serikali.

Pamoja na mama Zahara kumshinda mahakamani, hilo halikumwezesha kurejeshewa kiwanja chake. Kwa hapo, ni kama vile Mushi ana nguvu kuizidi mahakama.

Ina maana kuna watu nchi hii wameiweka Serikali mfukoni kiasi kwamba wanaweza kudhulumu watakavyo bila kubughudhiwa?
 
Attachments

  • KATIBU_MKUU_ENZI_ZA_NYERERE_ATISHIWA_BASTOLA_ATAPELIWA_KIWANJA_NA_MUSHI_WAZIRI_SILAA_ATOA_TAMK...mp4
    8.4 MB
Hapana ila kuna serikali zina nguvu kuliko watu
 
Kama aliyewahi kuwa katibu mkuu wa Wizara nchini anaweza kutapeliwa akiona, wanyonge halisi hufanyweje?

Mama Zahara aliwahi kuwa katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, lakini bado alitapeliwa kiwanja chake na Mzee Mushi. Yaelekea Mushi ni mbabe sana. Hawaopgopi wasomi wala viongozi wala Serikali.

Pamoja na mama Zahara kumshinda mahakamani, hilo halikumwezesha kurejeshewa kiwanja chake. Kwa hapo, ni kama vile Mushi ana nguvu kuizidi mahakama.

Ina maana kuna watu nchi hii wameiweka Serikali mfukoni kiasi kwamba wanaweza kudhulumu watakavyo bila kubughudhiwa?
Utawaweza hao wazee unaweza kuta huyo mzee Mushi na huyo mama Zahara walikuwa mtu na mtuwe.
 
Matapeli wa viwanja wanalindwa na askari wasio waaminifu. IGP anayo kazi ya ziada ya kusafisha jeshi.
 
Kama aliyewahi kuwa katibu mkuu wa Wizara nchini anaweza kutapeliwa akiona, wanyonge halisi hufanyweje?

Mama Zahara aliwahi kuwa katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, lakini bado alitapeliwa kiwanja chake na Mzee Mushi. Yaelekea Mushi ni mbabe sana. Hawaopgopi wasomi wala viongozi wala Serikali.

Pamoja na mama Zahara kumshinda mahakamani, hilo halikumwezesha kurejeshewa kiwanja chake. Kwa hapo, ni kama vile Mushi ana nguvu kuizidi mahakama.

Ina maana kuna watu nchi hii wameiweka Serikali mfukoni kiasi kwamba wanaweza kudhulumu watakavyo bila kubughudhiwa?
Rost tam
Msoga
Son number 1
 
Back
Top Bottom