Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,709
- 10,896
Uzi huu ufungwe kwa comment hii.Amerithi kwa nchi yake hio tabia!
Kama wewe ni ME basi utakuwa na tatizo kubwa ambalo lilianzia kwenye malezi.Mwamba huyu hapa
Mkuu kwani ukikopa bank moja linakua sio deni?Huyo mwalimu naye punguani.kwa nini asikope bank moja sasa au alikuwa anafanya utafiti wa benk.alibakiza bank moja tu azjmalize bank zote nchin
Mwamba kabisa.Mwamba huyu hapa, take home ya kibazenga mno
Basic Salary 1,390,000
Take home 463,334
Mwamba kwelikweli
View attachment 3703267
Kumbuka kila mmoja hapo ana riba yake. Kwahiyo unaweza jikuta average ya riba ni kubwa kuliko ungetumia riba ya bank mojaMkuu kwani ukikopa bank moja linakua sio deni?
Ukimkopa Abdallah shilingi 15k ina tofauti gani na ukimkopa Betrice 5k, Ambokile 5k, Gb-64 5k?
Kutokuwa na uelewa wa kukuza kipato/mshahara, ni mbaya sana.Anaona kukopa sehemu nyingi ni sifa sana kana kwmba atapewa cheti cha mkopaji bora…..Kwa mshahara huo kwenye ualimu hapo maana yake hakosi miaka 40+ kama hiyo hela hakuenda kufanyia productive issues automatically huyu ni ombaomba mtarajiwa!