Kuna wawekezaji zaidi ya watatu wapo tayari kuichukichukua Simba kwa thamani ya billion 50

yitzhak

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2019
Posts
616
Reaction score
853
Haya sasa baada ya Mo kubebebwa mwaka Jana kwenye utaratibu wa kutafuta mwekezaji kwa kuwahonga viongozi wakiokuwa wakiendesha hilo zoezi
Mambo yanazidi kuibuka
Kutoka jikoni ni kwamba kuna wawekezaji waliweka billion 50 mezani ila huyu tuliyenaye akafanya fitina akaichukua timu kwa billion 20 tu tena pesa yenyewe hajatoa hata senti tano

Habari kutoka kwa wajumbe wa simba wasioridhishwa na uhuni wa muwekezaji wanasema mpaka sasa kuna wawekezaji zaidi ya watatu wapo tayari kutoa billion 50 tena bila mashariti kama Yale anayoshinikiza ndugu Mo

Wenyewe wanasema wanahitaji nembo ya timu tu kuendesha club wala hawahitaji Mali zote za Simba

Wanachama wengi tulitilia mashaka uwekezaji wa Mo kwani amekuwa akiendesha club kwa siri kama mke wake

Baada ya nkwabi kumshutikia hatua za mwisho kuwa mo hana lengo zuri sasa anapanga kutumia mamilon ya pesa kuwahonga wapiga kura ili nkwambi aonekane anaikwamisha timu ili amrudishie rafiki yake try again madarakani

Mo amebaki na fisadi magori tu anayemuunga mkono pamoja na wajumbe wawili upande wa club

Jays ndugu zangu Simba tuendelee na huyu mwekezaji kanjanja au tuchague wawekezaji wapya ambao wataweka billion 50 mezani
 
Siasa tu hapo hamna kitu,utashangaa Mo akiondoka hakuna cha mwekezaji wala nini wote wataingia mtini.....
 
Kuna watu hawanaga mavuzi wala ndevu. Muulize Abou Upara wa Super Star Mpwapwa
Hivi bilioni 50 unafikili ni mavuzi kila binadamu anaweza kuwa nazo? Punguani wa head
 
Mpira wetu kuendelea kuna kazi sana , tena sana hao watu walikua wapi mda wote huo 50bil.........!!!!!!! unadhani ni kitu kidogo eeeeenh
Acha propaganda hizo mkuu, unapenda kuwarudisha watu kwenye bakuli mkuu?
 
Yale Yale ya Dangote na Yanga.
Yule Mpopo analaumiwa bure tu,hata aje Guardiola ,Mourinho,Klopp na wengineo wake wafundishe timu za ligi kuu hatuwezi kutoboa
 
Kuna watu mnapenda kuaminishwa na maneno ya taarabu kweli.
 
Hakika nawambieni,
Simba mukimtosa Mo hakuna mwekezaji wakutoa pesa pale. Unazani 50b faida anaiona leo. Pesa za milangoni na jezi uchwara. Msidanganyane kwanza Mooo amewasaidia mshukuruni kwa hilo.
Kwani bila yeye Simba itayumba sana. Sasahiv sioni mtu wakulipa 12m kwa kagere per month.
 
Yanga ni ya wananchi wewe acha kuiambukiza ujinga. By the way nani aliyesema hayo ni Haji Manara? Mana Haji huwa anifikiria kwa niaba yenu.
Mkiendelea kuwa wabishi kila mwaka tutakuwa tuna wanyanganya wachezaji wenu bora kwa ajili ya njaa zenu;
 
Ha ha ha ha nadhani unayapitia machungu ya utegemezi mana caption mbili tu za Twitter watu mavi yanagonga vyupi na kurudi ndani. Sijui mtaishi hivo hadi lini ha ha ha ha , hizo nnya si zitatoboa vyupi vyenu?
Dua la kuku Ilo!! Najua ndio maombi yenu hayo; Ila kaa ukijua Mo ni akili kubwa.

Majirani mtasubiria sana ndoa ya jirani kuvunjika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…