yitzhak
JF-Expert Member
- Jul 3, 2019
- 616
- 853
Haya sasa baada ya Mo kubebebwa mwaka Jana kwenye utaratibu wa kutafuta mwekezaji kwa kuwahonga viongozi wakiokuwa wakiendesha hilo zoezi
Mambo yanazidi kuibuka
Kutoka jikoni ni kwamba kuna wawekezaji waliweka billion 50 mezani ila huyu tuliyenaye akafanya fitina akaichukua timu kwa billion 20 tu tena pesa yenyewe hajatoa hata senti tano
Habari kutoka kwa wajumbe wa simba wasioridhishwa na uhuni wa muwekezaji wanasema mpaka sasa kuna wawekezaji zaidi ya watatu wapo tayari kutoa billion 50 tena bila mashariti kama Yale anayoshinikiza ndugu Mo
Wenyewe wanasema wanahitaji nembo ya timu tu kuendesha club wala hawahitaji Mali zote za Simba
Wanachama wengi tulitilia mashaka uwekezaji wa Mo kwani amekuwa akiendesha club kwa siri kama mke wake
Baada ya nkwabi kumshutikia hatua za mwisho kuwa mo hana lengo zuri sasa anapanga kutumia mamilon ya pesa kuwahonga wapiga kura ili nkwambi aonekane anaikwamisha timu ili amrudishie rafiki yake try again madarakani
Mo amebaki na fisadi magori tu anayemuunga mkono pamoja na wajumbe wawili upande wa club
Jays ndugu zangu Simba tuendelee na huyu mwekezaji kanjanja au tuchague wawekezaji wapya ambao wataweka billion 50 mezani