Kuna wazazi wanajua kulea jamani

Watu wamesahau malezi ya watoto wao, TV, simu na mitandao, vinawasaidia kuwalea hovyo na kuharibikiwa. Bila kusahau wadada wa kazi, watoto wakitoka shule, mtu wa karibu ni dada wa kazi, sasa ukute naye kichwa kimepata moto, utajua hujui.

By the way Mama Mchungaji ana tacle la kwenda.πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ˜œ
 
 
Mtani hapo mwisho niambie ni nini
 
Yeah ni kweli,.

Mama body la mama mchungaji linaita waumini kuingia church kusali
 
Anapatikana mtandao gani nimtembeleee nione yaliyomo yamo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…