Certified Hater
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 2,035
- 4,457
Unaleta michezo na neno .๐๐Ni mithali ya 22, ule msari wa 6 unasemaaa
Unasemaaaa nini?
Umlee mtoto..
Umleee naniiiiii
Haahhaa, ushakutana nayo huko mtandaoni? Nilicheka hadi machozi.
Anyway: tutafute cheti cha kwendea Mbinguni ambacho hakitolewi Kanisani.
Hapana ndo maana ukiachilia mwanamke kuingia period haruhusiwi kufanya Ibada kadri ya biblia, na pale ilipo sema anaepaswa kusalisha ni me,Ila nyie vijana moto wenu utakua mkali sana naona๐๐๐๐
Neno liheshimiweUnaleta michezo na neno .๐๐
Sawa sawa sawa๐๐Hapana ndo maana ukiachilia mwanamke kuingia period haruhusiwi kufanya Ibada kadri ya biblia, na pale ilipo sema anaepaswa kusalisha ni me,
Huku ninyi mjifunike ๐๐ unafikiri kwann
Mtu anakuja kanisan off shoulder bado gauni fupi, unafikiri mm ntapata vipi attention ya kusikiliza Ibada?
Mm ni binadamu ni nashawishiwa so ni ngumu kuyashinda hayo ๐
Shalom baby girlSawa sawa sawa๐๐
The Beauty of Psalm ๐ฅฐHonestly inavutia na kutia moyo Ila binafsi siwezi enda hapo labda nimwangalie tuu kama Leo basi, ๐ ๐
Tatizo la ministry nyingi watu wanapangwa tofaut na uhalisia so inabidi uwe makini sana
Hata hao wanaosema mwamposa sijui ana upako, fatilia mostly ya watoa ushuhuda ni wamepangwa
Kingine tujifunze kujiombea wenyewe, kufunga, vyakula ni vitamu lkn tujinyime ili tupate wasaa wa kufikiria juu ya maombi, maono, na mafungo yetu, tutoe sadaka hasa charity, naamini Mungu ni mwaminifu kwa ahadi zake sio km mwanadamu,
Daudi akasema nilikuwa kijana na sasa ni mzee sijawahi ona mwenye haki ameachwa wala watoto wake kuomba omba mikate barabarani, Tuende kwenye haki kwenye kila jambo na watu wote.
Thank you baby girl ๐๐The Beauty of Psalm ๐ฅฐ
Umeandika vzuri, nimesoma kwa moyo mweupee.. vya kuambiwa changanya na maarifa yako/ from Bible nk
Yep km mtumishi yule Rev Lucy Natasha wa Kenya mwenye sauti ile ya September to remember ๐Haha umenichekesha๐๐๐,. Ila anaitikia vizuri bhana
Umemaliza kila kitu๐คThank you baby girl ๐๐
Jaribu tu kidogo, kidogo unaweza nachoweza kusema ni kuwa watu tukifungua akili na kujua kupiga goti basi kila kitu kitakuwa sawa, hata kwa kuchelewa kikubwa weka imani ya kuwa ninacho,
Kadri ya imani yako tuu unasali, kama upo dar Kuna Yale maombi ya pale Emaus ubungo nataka nihudhurie Yale, au nisali kwenye kuabudu ekaristi napenda sana iyo Ibada Leejay49