Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Bibi yangu alinifundisha uchafu ndani ya nyumba unatolewa kuanzia saa 12:00 asubuhi mpaka 18:00 jioni. Nje ya masaa hayo si busara kufanya hivyo.
Nyumba inaweza kufagiliwa usiku lakini taka zitakaa kwenye bin la ndani mpaka asubuhi. Nimeifuata hii theory mpaka leo hii.
Kuna mwingine anaifahamu?
Nyumba inaweza kufagiliwa usiku lakini taka zitakaa kwenye bin la ndani mpaka asubuhi. Nimeifuata hii theory mpaka leo hii.
Kuna mwingine anaifahamu?