Kuna wengine wana ifahamu hii theory?

Kuna wengine wana ifahamu hii theory?

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Bibi yangu alinifundisha uchafu ndani ya nyumba unatolewa kuanzia saa 12:00 asubuhi mpaka 18:00 jioni. Nje ya masaa hayo si busara kufanya hivyo.

Nyumba inaweza kufagiliwa usiku lakini taka zitakaa kwenye bin la ndani mpaka asubuhi. Nimeifuata hii theory mpaka leo hii.

Kuna mwingine anaifahamu?
 
Ni kweli tena hasa ikiwa ni chakula unakifagia huzoi kama n usiku unaweka kwenye kipembe asubuhi unatoa na mwiko kufagia mataka ya chumbani kusindikizia yaani unafagia chumban kwako korido sitting room unaenda nayo mpaka nje niliwah kuambiwa kufanya hivo ni kujipunguzia upatikanaji wa riziki
 
Bibi yangu alinifundisha uchafu ndani ya nyumba unatolewa kuanzia saa 12:00 asubuhi mpaka 18:00 jioni. Nje ya masaa hayo si busara kufanya hivyo.

Nyumba inaweza kufagiliwa usiku lakini taka zitakaa kwenye bin la ndani mpakaeasubuhi. Nimeifuata hii theory mpaka leo hii.

Kuna mwingine anaifahamu?
Nishaisikia.....Mimi niliambiwa ukifagia usiku unafukuza wageni.
 
Bibi yangu alinifundisha uchafu ndani ya nyumba unatolewa kuanzia saa 12:00 asubuhi mpaka 18:00 jioni. Nje ya masaa hayo si busara kufanya hivyo.

Nyumba inaweza kufagiliwa usiku lakini taka zitakaa kwenye bin la ndani mpaka asubuhi. Nimeifuata hii theory mpaka leo hii.

Kuna mwingine anaifahamu?
Kiroho ina tafsiri kubwa sana

Jr[emoji769]
 
Kumbe hizi mila za kutishana bado zipo binafsi nazikumbuka hizi;

Kwenda kuchota maji kisimani/mtoni usiku ilikua vibaya but nadhani ilikua ni kutokana na umbali na kuwa porini.

Kuzima moto kwa maji mara baada ya kumaliza kupika nayo ilikua ni mwiko dhana hii nayo naipuuza tu.

Wanaume kula pamoja na wanawake nayo ilikua mwiko lakini hivisasa kwenye mlo mbona tunajumuika pamoja kwenye meza as family na hakuna ubaya wowote.

Pia ilikua ni mwiko kumwita mtu usiku kwa jina lake tena kwa kelele/sauti dhana hii sioni mantiki yake hadi leo hii.

Kupiga filimbi usiku nayo ni vibaya hili nalo ni uzushi tu.

Kunyoa nywele na kujitizama kwenye kioo usiku ni vibaya ila nowdays saloon zinapiga kazi hadi usiku.
Hata kulala uchi pia ilikua vibaya lakini wengi wetu hasa wenye wenza mbona hulala uchi ni mgegedo mwanzo mwisho.
 
Back
Top Bottom