Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilienda usukumani mamkwe nae ndo nikamkuta wale waleBibi yangu alinifundisha uchafu ndani ya nyumba unatolewa kuanzia saa 12:00 asubuhi mpaka 18:00 jioni. Nje ya masaa hayo si busara kufanya hivyo.
Nyumba inaweza kufagiliwa usiku lakini taka zitakaa kwenye bin la ndani mpaka asubuhi. Nimeifuata hii theory mpaka leo hii.
Kuna mwingine anaifahamu?
Mshana Jr nina ofisi ndogo inayotoa mikopo kwa hiyo unanishauri ikifika saa 12 nisitoe mikopo ila nipokee marejesho tu au fafanua kwa mfano huuYeah usiku ni wakati wa kurejea na si kutoka... Hivyo hupaswi kutoa kitu nje ni kufukuza baraka
Jr[emoji769]
Pesa hazitolewi usiku hata siku moja.. Hata mimi nina hiyo hulka... Jaribu kuchunguza pesa uliyotoa mapema haikuwahi kukusumbuaMshana Jr nina ofisi ndogo inayotoa mikopo kwa hiyo unanishauri ikifika saa 12 nisitoe mikopo ila nipokee marejesho tu au fafanua kwa mfano huu
Mshana Jr ahsante kwa ushauri nimejifunza, mara zote nilikuwa nafanya kazi kutoa huduma hadi saa 4 usiku, maana muda wangu wa kazi na huu wa biashara kidogo nabalance ila kwa kuanzia leo ndio mwisho ikishafika saa 11.45 sito tena pesa za mikopo hata iweje. thank uPesa hazitolewi usiku hata siku moja.. Hata mimi nina hiyo hulka... Jaribu kuchunguza pesa uliyotoa mapema haikuwahi kukusumbua
Jr[emoji769]
Wale wazee wana akili sana walikuwa hawataki ufanye usafi siku ikiwa imechanganya kwasababu majukumu ya nyumbani yatakuwa yamechanganya. Hakuna balaa lolote, mfano kule kijijini tulikuwa tunakatazwa kujisaidia kwenye chanzo cha maji etiii ukifanya hivo mzazi wako atakufa ila walikuwa wanatuambia vile ili tusichafue maji. Nothing elsekufagia usiku niliambiwa kunaondosha ridhki ndani ya nyumba , na usafi nianze alfajiri Sana nisisubiri jua Lianze kuchomoza.
Kujitazama kwenye kioo usiku mwiko1. Kufagia usiku mwiko
2. Kukata kucha usiku mwiko
3. Kuhesabu nyota mwiko
4. Kunyoa usiku hapana
5. Mwanaume kutumia kipekecho kupika ugali mwiko. Hata haipendezei.
na nyingine nyingi.
Majukumu yakishachanganya ndio balaa lenyewe.Wale wazee wana akili sana walikuwa hawataki ufanye usafi siku ikiwa imechanganya kwasababu majukumu ya nyumbani yatakuwa yamechanganya. Hakuna balaa lolote, mfano kule kijijini tulikuwa tunakatazwa kujisaidia kwenye chanzo cha maji etiii ukifanya hivo mzazi wako atakufa ila walikuwa wanatuambia vile ili tusichafue maji. Nothing else