Kuna wengine wana ifahamu hii theory?

Kuna wengine wana ifahamu hii theory?

Ndio mpk kesho tunaiplai tena ole wako utupe uchafu nje!!!
Bibi yangu alinifundisha uchafu ndani ya nyumba unatolewa kuanzia saa 12:00 asubuhi mpaka 18:00 jioni. Nje ya masaa hayo si busara kufanya hivyo.

Nyumba inaweza kufagiliwa usiku lakini taka zitakaa kwenye bin la ndani mpaka asubuhi. Nimeifuata hii theory mpaka leo hii.

Kuna mwingine anaifahamu?
Nilienda usukumani mamkwe nae ndo nikamkuta wale wale
 
Nasikiaga mkono wa kulia ukiwashawasha unapata mapesa ya maana,mimi unawashawasha sana lakini wapi labda nina gundu.
 
Imani za kijinga hizo,amkeni toka kwenye usingizi wa pono,dunia inaenda kwa kasi sana.
 
Dah....sisi kule kwetu sababu ilikuwa majalala yalikuwa mbali na makazi....na mida hiyo wanyama wakali walikuwa wameanza kutembelea maeneo ya makazi....[emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeah usiku ni wakati wa kurejea na si kutoka... Hivyo hupaswi kutoa kitu nje ni kufukuza baraka

Jr[emoji769]
Mshana Jr nina ofisi ndogo inayotoa mikopo kwa hiyo unanishauri ikifika saa 12 nisitoe mikopo ila nipokee marejesho tu au fafanua kwa mfano huu
 
Mshana Jr nina ofisi ndogo inayotoa mikopo kwa hiyo unanishauri ikifika saa 12 nisitoe mikopo ila nipokee marejesho tu au fafanua kwa mfano huu
Pesa hazitolewi usiku hata siku moja.. Hata mimi nina hiyo hulka... Jaribu kuchunguza pesa uliyotoa mapema haikuwahi kukusumbua

Jr[emoji769]
 
Pesa hazitolewi usiku hata siku moja.. Hata mimi nina hiyo hulka... Jaribu kuchunguza pesa uliyotoa mapema haikuwahi kukusumbua

Jr[emoji769]
Mshana Jr ahsante kwa ushauri nimejifunza, mara zote nilikuwa nafanya kazi kutoa huduma hadi saa 4 usiku, maana muda wangu wa kazi na huu wa biashara kidogo nabalance ila kwa kuanzia leo ndio mwisho ikishafika saa 11.45 sito tena pesa za mikopo hata iweje. thank u
 
Write your reply...myths tu hizo hamna lolote wazee wazamani walijua kushika watu akili........................ sent by tecno amber rutty using jamiiforums app
 
kufagia usiku niliambiwa kunaondosha ridhki ndani ya nyumba , na usafi nianze alfajiri Sana nisisubiri jua Lianze kuchomoza.
Wale wazee wana akili sana walikuwa hawataki ufanye usafi siku ikiwa imechanganya kwasababu majukumu ya nyumbani yatakuwa yamechanganya. Hakuna balaa lolote, mfano kule kijijini tulikuwa tunakatazwa kujisaidia kwenye chanzo cha maji etiii ukifanya hivo mzazi wako atakufa ila walikuwa wanatuambia vile ili tusichafue maji. Nothing else
 
Wajawazito wakila mayai watazaa mtoto hana nywele
 
Wale wazee wana akili sana walikuwa hawataki ufanye usafi siku ikiwa imechanganya kwasababu majukumu ya nyumbani yatakuwa yamechanganya. Hakuna balaa lolote, mfano kule kijijini tulikuwa tunakatazwa kujisaidia kwenye chanzo cha maji etiii ukifanya hivo mzazi wako atakufa ila walikuwa wanatuambia vile ili tusichafue maji. Nothing else
Majukumu yakishachanganya ndio balaa lenyewe.
 
Back
Top Bottom