Nishaisikia.....Mimi niliambiwa ukifagia usiku unafukuza wageni.Bibi yangu alinifundisha uchafu ndani ya nyumba unatolewa kuanzia saa 12:00 asubuhi mpaka 18:00 jioni. Nje ya masaa hayo si busara kufanya hivyo.
Nyumba inaweza kufagiliwa usiku lakini taka zitakaa kwenye bin la ndani mpakaeasubuhi. Nimeifuata hii theory mpaka leo hii.
Kuna mwingine anaifahamu?
Kiroho ina tafsiri kubwa sanaBibi yangu alinifundisha uchafu ndani ya nyumba unatolewa kuanzia saa 12:00 asubuhi mpaka 18:00 jioni. Nje ya masaa hayo si busara kufanya hivyo.
Nyumba inaweza kufagiliwa usiku lakini taka zitakaa kwenye bin la ndani mpaka asubuhi. Nimeifuata hii theory mpaka leo hii.
Kuna mwingine anaifahamu?
Yeah usiku ni wakati wa kurejea na si kutoka... Hivyo hupaswi kutoa kitu nje ni kufukuza barakakufagia usiku niliambiwa kunaondosha ridhki ndani ya nyumba , na usafi nianze alfajiri Sana nisisubiri jua Lianze kuchomoza.