Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Na hizo ndizo sayansi kabambe zetu tulizo nazo sisi waafrika![emoji4][emoji4][emoji4]1. Kufagia usiku mwiko
2. Kukata kucha usiku mwiko
3. Kuhesabu nyota mwiko
4. Kunyoa usiku hapana
5. Mwanaume kutumia kipekecho kupika ugali mwiko. Hata haipendezei.
na nyingine nyingi.
ila kulewa usiku ruksa![emoji4][emoji4][emoji4]
Ila zina maana zake pia.Na hizo ndizo sayansi kabambe zetu tulizo nazo sisi waafrika![emoji4][emoji4][emoji4]
Wahenga walisemaje kuhusu hilo [emoji28][emoji28]ila kulewa usiku ruksa![emoji4][emoji4][emoji4]
Bibi yangu alinifundisha uchafu ndani ya nyumba unatolewa kuanzia saa 12:00 asubuhi mpaka 18:00 jioni. Nje ya masaa hayo si busara kufanya hivyo.
Nyumba inaweza kufagiliwa usiku lakini taka zitakaa kwenye bin la ndani mpaka asubuhi. Nimeifuata hii theory mpaka leo hii.
Kuna mwingine anaifahamu?
Faida ya hii theory ikojeBibi yangu alinifundisha uchafu ndani ya nyumba unatolewa kuanzia saa 12:00 asubuhi mpaka 18:00 jioni. Nje ya masaa hayo si busara kufanya hivyo.
Nyumba inaweza kufagiliwa usiku lakini taka zitakaa kwenye bin la ndani mpaka asubuhi. Nimeifuata hii theory mpaka leo hii.
Kuna mwingine anaifahamu?
mna mambo mengi na je kununua chumvi dukani usikuIpo hiyo, kwetu hata kufagia usiku hairuhusiwi.
Kukata kucha usiku hairuhusiwi.
Ukiwa kwenye hedhi huendi kumwaga taka jalalani.
ndio maana jirani yangu huwa anafagia nje kwake asubuhi saa 12 au 11 na nusu alfajiri nimejiuliza sana kwanini sijawahi pata jibukufagia usiku niliambiwa kunaondosha ridhki ndani ya nyumba , na usafi nianze alfajiri Sana nisisubiri jua Lianze kuchomoza.
We ni msukuma, hiyo ipo sana usukumani!Bibi yangu alinifundisha uchafu ndani ya nyumba unatolewa kuanzia saa 12:00 asubuhi mpaka 18:00 jioni. Nje ya masaa hayo si busara kufanya hivyo.
Nyumba inaweza kufagiliwa usiku lakini taka zitakaa kwenye bin la ndani mpaka asubuhi. Nimeifuata hii theory mpaka leo hii.
Kuna mwingine anaifahamu?
Mshana Jr lete iyo tafsiri ya kirohoKiroho ina tafsiri kubwa sana
Jr[emoji769]
Ni ustaarabu mzuri inapofika saa moja asubuhi kazi za ndani zimeisha. Mambo mengine yanaendelea.ndio maana jirani yangu huwa anafagia nje kwake asubuhi saa 12 au 11 na nusu alfajiri nimejiuliza sana kwanini sijawahi pata jibu
Baada yankupata ilm ya dini, sasa tunaelewa hizo ni shirk ndogo ndogo.mna mambo mengi na je kununua chumvi dukani usiku
Msambaautakua mchaga wewe dada Sky..lol