Kuna wengine wana ifahamu hii theory?

Kuna wengine wana ifahamu hii theory?

1. Kufagia usiku mwiko

2. Kukata kucha usiku mwiko

3. Kuhesabu nyota mwiko

4. Kunyoa usiku hapana

5. Mwanaume kutumia kipekecho kupika ugali mwiko. Hata haipendezei.

na nyingine nyingi.
Na hizo ndizo sayansi kabambe zetu tulizo nazo sisi waafrika![emoji4][emoji4][emoji4]
 
Bibi yangu alinifundisha uchafu ndani ya nyumba unatolewa kuanzia saa 12:00 asubuhi mpaka 18:00 jioni. Nje ya masaa hayo si busara kufanya hivyo.

Nyumba inaweza kufagiliwa usiku lakini taka zitakaa kwenye bin la ndani mpaka asubuhi. Nimeifuata hii theory mpaka leo hii.

Kuna mwingine anaifahamu?

asubuhi unasafisha mabaya na kukaribisha malaika
 
Bibi yangu alinifundisha uchafu ndani ya nyumba unatolewa kuanzia saa 12:00 asubuhi mpaka 18:00 jioni. Nje ya masaa hayo si busara kufanya hivyo.

Nyumba inaweza kufagiliwa usiku lakini taka zitakaa kwenye bin la ndani mpaka asubuhi. Nimeifuata hii theory mpaka leo hii.

Kuna mwingine anaifahamu?
Faida ya hii theory ikoje
 
We ni msukuma, hiyo ipo sana usukumani!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kukatazwa kutoka nje usiku inatokana na maisha ya enzi hizo. Enzi hizo kulikua na wanyama pori wengi wanazurura zurura na kuzunguka zunguka kwenye miji ya watu kuanzia jioni saa 12 kunapokuchwa hadi kunapokucha mida ya saa 12 asubuhi. Wanyama hao ni pamoja na wanyama wakali kama simba, chui, fisi, mbwa mwitu na hata majoka.

Kwa vile wazee walikuwa wanatumia vitisho kutoa makatazo au walikuwa wakikopi jamii nyingine pasipo kujua chanzo cha makatazo, au kutotaka kuwaelezea vijana kwani wangekaidi na kupata madhara, ilibidi watumie sababu za kiimani kama kufukuza malaika, baraka na hata wageni.

Kwa zama hizi unaweza kufanya chochote hata kama ni kuomba moto au chumvi kwa jirani wakati wa usiku na hakuna dhara litalotokea.
 
Back
Top Bottom