kidole cha simba
JF-Expert Member
- Jun 3, 2022
- 1,994
- 2,510
huyu jamaa inabidi 2mkamate 2mvutishe kabangi akili ikae sawa!!Hajui anaongelea nini watu wanauziwa mafuta ya Upako wanakanyagana mpaka wanakufa wengine wanauziwa udongo wengine ndio hao kila kukicha wake za watu wanashinda kwa Wachungaji ni kwamba Dini zote zina watu wa hovyo hovyo sana...hakuna sehemu utasema ni afadhali kinachotakiwa ni wewe kuwa na akili ya utambuzi sio ya kushikiwa..