Kuna wimbi kubwa la vijana wa Kiislamu kushikiwa akili au mawazo bila kujitambua kuwa wanapotoshwa

Hajui anaongelea nini watu wanauziwa mafuta ya Upako wanakanyagana mpaka wanakufa wengine wanauziwa udongo wengine ndio hao kila kukicha wake za watu wanashinda kwa Wachungaji ni kwamba Dini zote zina watu wa hovyo hovyo sana...hakuna sehemu utasema ni afadhali kinachotakiwa ni wewe kuwa na akili ya utambuzi sio ya kushikiwa..
huyu jamaa inabidi 2mkamate 2mvutishe kabangi akili ikae sawa!!
 
Sasa tutafungaje kidani cha dhahabu kwenye pua ya nguruwe sheikh,wewe ni nguruwe yako ni pumba na kisu,taqbir[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Tumswalie mtume sheikh.
Siku nyingine kabla hamjaleta upuuzi mje kwanza na uthibitisho wa Dini ya Ukristo ndio tutaendelea nimefunga mjadala na wewe

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hv kama siku inapita bila kuongelea vibaya uislam unahisi utabanduka au?!kila siku unatunga story za kubumba bumba tu ,acha chuki uislam ulikuwepo tangia dunia inaumbwa na utakuwepo mpaka mwishi wa dunia hii inshallah...
sheikh huyu jamaa atakuwa punga!!
 
Unataka uthibitisho gani na hauna uthibitisho kwamba mtume alitumwa na Allah???

Ukitafuta nyoka anza kumulika miguuni kwanza.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mimi nishafunga mjadala wakipatikana wapumbavu afadhali kuliko wewe waje kuthibitisha hapa ukristo ni Dini au tambala

Au kapitie pitie leo kwenye bibilia huenda ukapata majibu ukaleta hapa

Kuna mwenzio alileta dictionary [emoji1787] [emoji1787] ndio likawa neno la Yesu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mimi nishafunga mjadala wakipatikana wapumbavu afadhali kuliko wewe waje kuthibitisha hapa ukristo ni Dini au tambala

Au kapitie pitie leo kwenye bibilia huenda ukapata majibu ukaleta hapa

Kuna mwenzio alileta dictionary [emoji1787] [emoji1787] ndio likawa neno la Yesu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Tukuthibitishie wewe ukristo ni dini ili ufanye nao nini??

Wewe kama hutaki kukubali kautenge palee subiri kuuponza siku ya mwisho[emoji23][emoji23][emoji23].

Mtume wako mwenyewe kashindwa kuuelewa ije kuwa wewe kilundu mvaa kobazi[emoji28]
 
Kobaz tumevaa wengi mpaka Yesu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Huenda ulikuwa hujui hilo

Mjadala nishafunga tena kiume mimi naamini humu wapo wakristo wanapitia comment waje watuthibitishie wewe

Ushafeli

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kobaz tumevaa wengi mpaka Yesu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Huenda ulikuwa hujui hilo

Mjadala nishafunga tena kiume mimi naamini humu wapo wakristo wanapitia comment waje watuthibitishie wewe

Ushafeli

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Kobazi yesu alivaa hakukuwa na viatu vingine,haya wee kilundu kobazi mpaka leo vipi,vipi punda unapanda??

Halafu huwezi kimbia mjadala kienyeji namna hiyo eti umeufungwa[emoji23][emoji23][emoji23]

Rudi hapa.
 
Sheria ya ndoa unayoitaka wewe, unaweza iweka hapa kwa faida yako; mimi naishi kwa sheria ya leo, ndio mana narudia tena kama hukunipata, usiige kuoa kabinti ka miaka 9 sheria hairuhusu ni kosa. Huelewi nini. Utaishia jera.
Kumbe unaishi kwa sheria ya leo. Unafuata sheria ya nchi gani?
Agano la kale waliokuwa wanaunga mkono ushoga waliuliwa wote. Leo waliotengeneza biblia wanaunga mkono. Unasemaje kwa sheria ya leo hapo unaonaje. Maana kumbe mnafuata sheria za sasa.
 
Kobazi yesu alivaa hakukuwa na viatu vingine,haya wee kilundu kobazi mpaka leo vipi,vipi punda unapanda??

Halafu huwezi kimbia mjadala kienyeji namna hiyo eti umeufungwa[emoji23][emoji23][emoji23]

Rudi hapa.
Madam Yesu kavaa pia kobaz nimemaliza na huo pia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji419][emoji419][emoji419]

Mjadala ili uendelee lete uthibitisho wa Dini yako hapa kama huna siendelei na asie na dini [emoji3][emoji3]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Madam Yesu kavaa pia kobaz nimemaliza na huo pia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji419][emoji419][emoji419]

Mjadala ili uendelee lete uthibitisho wa Dini yako hapa kama huna siendelei na asie na dini [emoji3][emoji3]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Yesu kapanda punda kilundu,wewe uko kwenye daladala huyooo kuwahi 40 ya mtoto[emoji23][emoji23].
 
Tunaongelea alkitaabi au ukristo ambalo ni jina la kupanga walilolitumia wapagani wa Antokia

Huna akili mike,nimekuuliza ukristo ni nini???
Haya basi puuza hilo swali na jibu lake,twende kwa mtume.
Aliowaita alkitaabi ni watu gani??sitaki uwaite wakristo.
 
Back
Top Bottom