kidole cha simba
JF-Expert Member
- Jun 3, 2022
- 1,994
- 2,510
huyu jamaa inabidi 2mkamate 2mvutishe kabangi akili ikae sawa!!Hajui anaongelea nini watu wanauziwa mafuta ya Upako wanakanyagana mpaka wanakufa wengine wanauziwa udongo wengine ndio hao kila kukicha wake za watu wanashinda kwa Wachungaji ni kwamba Dini zote zina watu wa hovyo hovyo sana...hakuna sehemu utasema ni afadhali kinachotakiwa ni wewe kuwa na akili ya utambuzi sio ya kushikiwa..
Leo mpaka mthibitishe humu ukristo dini au tambala
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Itapenya hata kwa nguvu mpaka mlete uthibitisho
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Siku nyingine kabla hamjaleta upuuzi mje kwanza na uthibitisho wa Dini ya Ukristo ndio tutaendelea nimefunga mjadala na weweSasa tutafungaje kidani cha dhahabu kwenye pua ya nguruwe sheikh,wewe ni nguruwe yako ni pumba na kisu,taqbir[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tumswalie mtume sheikh.
sheikh huyu jamaa atakuwa punga!!Hv kama siku inapita bila kuongelea vibaya uislam unahisi utabanduka au?!kila siku unatunga story za kubumba bumba tu ,acha chuki uislam ulikuwepo tangia dunia inaumbwa na utakuwepo mpaka mwishi wa dunia hii inshallah...
Wakristo wote jamii forum wamekutuma wewe kapuku kuthibitisha na umeshindwa
Hapo hakuna dini
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Siku nyingine kabla hamjaleta upuuzi mje kwanza na uthibitisho wa Dini ya Ukristo ndio tutaendelea nimefunga mjadala na wewe
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mimi nishafunga mjadala wakipatikana wapumbavu afadhali kuliko wewe waje kuthibitisha hapa ukristo ni Dini au tambalaUnataka uthibitisho gani na hauna uthibitisho kwamba mtume alitumwa na Allah???
Ukitafuta nyoka anza kumulika miguuni kwanza.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mimi nishafunga mjadala wakipatikana wapumbavu afadhali kuliko wewe waje kuthibitisha hapa ukristo ni Dini au tambala
Au kapitie pitie leo kwenye bibilia huenda ukapata majibu ukaleta hapa
Kuna mwenzio alileta dictionary [emoji1787] [emoji1787] ndio likawa neno la Yesu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kobaz tumevaa wengi mpaka Yesu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Huenda ulikuwa hujui hiloTukuthibitishie wewe ukristo ni dini ili ufanye nao nini??
Wewe kama hutaki kukubali kautenge palee subiri kuuponza siku ya mwisho[emoji23][emoji23][emoji23].
Mtume wako mwenyewe kashindwa kuuelewa ije kuwa wewe kilundu mvaa kobazi[emoji28]
du!!!Hhhhhhhhhhh pole sanaa untka mburuzwe mara ngapi?
Wakati mnatajirisha mapadri na nyie mkibaki hohehahe
Yni ukristo we ukiamua kusema lko we sema tuu na utakubalika
Tizama hawa wajinga wanavoaminishwa ujinga na kuburuzwa prrrrrrrrrrrrr
View attachment 2519239
Ni jina walilolitumia wapagani wa AntokiaUkristo ni nini???
Kobaz tumevaa wengi mpaka Yesu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Huenda ulikuwa hujui hilo
Mjadala nishafunga tena kiume mimi naamini humu wapo wakristo wanapitia comment waje watuthibitishie wewe
Ushafeli
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ni jina walilolitumia wapagani wa Antokia
Kumbe unaishi kwa sheria ya leo. Unafuata sheria ya nchi gani?Sheria ya ndoa unayoitaka wewe, unaweza iweka hapa kwa faida yako; mimi naishi kwa sheria ya leo, ndio mana narudia tena kama hukunipata, usiige kuoa kabinti ka miaka 9 sheria hairuhusu ni kosa. Huelewi nini. Utaishia jera.
Madam Yesu kavaa pia kobaz nimemaliza na huo pia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji419][emoji419][emoji419]Kobazi yesu alivaa hakukuwa na viatu vingine,haya wee kilundu kobazi mpaka leo vipi,vipi punda unapanda??
Halafu huwezi kimbia mjadala kienyeji namna hiyo eti umeufungwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Rudi hapa.
Kati yao alkitaabi ni wepi au hawakuwa kati yao???
Madam Yesu kavaa pia kobaz nimemaliza na huo pia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji419][emoji419][emoji419]
Mjadala ili uendelee lete uthibitisho wa Dini yako hapa kama huna siendelei na asie na dini [emoji3][emoji3]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
ukileta ushabiki wa dini hutapata jibu sahihi zaidi ya kurefusha ligi hiiHoja ipi mpaka sasa hakuna aliye weza thibitisha unataka nini
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Tunaongelea alkitaabi au ukristo ambalo ni jina la kupanga walilolitumia wapagani wa Antokia