Kuna wimbi kubwa la vijana wa Kiislamu kushikiwa akili au mawazo bila kujitambua kuwa wanapotoshwa

Kuna wimbi kubwa la vijana wa Kiislamu kushikiwa akili au mawazo bila kujitambua kuwa wanapotoshwa

Ulivyo juha hiyo ni maana ya neno sio quran kuku wewe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1732] Yesu njoo uthibshe huku ukristo dini au Dini wafuasi wameshindwa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nadhani sasa umejionea mwenyewe.

Wewe na wavaa kobazi wenzako wawili mmekula kona kujibu swali langu. Watu watatu kwa pamoja MMEKIMBIA SWALI.

Hamna mwenye uthubutu wa kujibu hilo swali hata mmoja.

Sasa akipatikana mwislam yeyote humu anayeweza kujibu hilo swali langu...namkaribisha.
 
Hv kama siku inapita bila kuongelea vibaya uislam unahisi utabanduka au?!kila siku unatunga story za kubumba bumba tu ,acha chuki uislam ulikuwepo tangia dunia inaumbwa na utakuwepo mpaka mwishi wa dunia hii inshallah...

Acha kupotosha,uislam unazidi kupoteza mvuto na waumini kadri siku zinavyozidi soon utabaki wewe na mtume wako wa waarabu.
 
Mimi siku nilimpomsikia mtu anasema eti Osama anapigwa sababu anatetea uislamu hapo ndipo nikajua wenzetu wanabebana upuuzi sana.

Yaani kuna kitu mtu anazungumza na watu wanamsikiliza hata hawashtuki.

Juzi kuna mpuuzi katia kiberiti quran hadharani,wapuuzi wanabebana tena tena mpaka waarabu unaoona wana akili lakini waapi,ujinga ni ule ule eti vita ya uislam kwa sababu unaenea kwa kasi ulaya[emoji1][emoji1].vita ipi kimechomwa kitabu kimoja!!!
 
Hayo maneno wakati yanaandikwa karne ya 7, lugha zilishakuwepo toka karne nyingi sana.. na hiyo Quran ilitumia lugha.

Na mimi sijakuuliza kuhusu tafsiri za Quran...nimekuuliza kuhusu TAFSIRI YA LUGHA.

Mimi ninakutaka wewe na wenzako mniambie, KWA MUJIBU WA TAFSIRI YA LUGHA...Dini ni Nini?

Hivi mbona hili swali mnaliogopa sana?
Kwahiyo kila ukiona maneno ya Kiarabu ni Qur'aan. Hapo kuna aya Moja tu mengine ni maneno Toka kwenye Kamusi ya Kiarabu.

Hapa ulitakiwa uulize usiandike haya uliyo yaandika unaonekana hujakaa kielimu zaidi ya kubishana na kama Kiarabu hukijui sema ufasiriwe.

Sasa unasemaje tunaogopa swali wakati mpaka Sasa nimeshakupa maana zaidi ya Tano za Dini.
 
umesahau KIBWETERE wa uganda alivodanganya waumini wake kwamba mwisho wa dunia uafika? Umemsahau nabii SHIKAa ZAMARADI je? Aliyekuwa akijiita mungu? weee jamaaaa wewe!!
hao ni wahuni wapotoshaji ndio maana ukristo hauwasapoti. Wanashughulikiwa hata na sheria za kisekula hapa hapa duniani. Kamwe hawewezi kuwa rejea kuwa ndiyo mafundisho ya ukristo
 
Nadhani sasa umejionea mwenyewe.

Wewe na wavaa kobazi wenzako wawili mmekula kona kujibu swali langu. Watu watatu kwa pamoja MMEKIMBIA SWALI.

Hamna mwenye uthubutu wa kujibu hilo swali hata mmoja.

Sasa akipatikana mwislam yeyote humu anayeweza kujibu hilo swali langu...namkaribisha.
Tulia mimi najionea unavyo hangaika unategemea bibilia mpya inayo itwa kamusi a.k.a dictionary [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Leo umepewa maana zaidi ya tano ulivyo juha umezikataa zote na kuthibitisha kama ukristo ni dini pia umeshindwa

Aya twambie nani hana akili

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Nadhani sasa umejionea mwenyewe.

Wewe na wavaa kobazi wenzako wawili mmekula kona kujibu swali langu. Watu watatu kwa pamoja MMEKIMBIA SWALI.

Hamna mwenye uthubutu wa kujibu hilo swali hata mmoja.

Sasa akipatikana mwislam yeyote humu anayeweza kujibu hilo swali langu...namkaribisha.
Mmekaa na majibu ya ajabu ajabu mpaka Yesu leo hamumtaki [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kujitambua kuwa wewe ni nani na kuwa mdadisi ni kitu kizuri ila ukishaunganishwa imani tu basi ndo akili inapotea.

Nazungumzia ndugu zetu wenye imani ya kiislamu kwa vijana wenzangu. Maisha tunayotafuta na makazi tunaishi na watu tofauti ila bahati nzuri asilimia kubwa maeneo niliyopo na kazi asilimia kubwa wenye imani ya Kiislamu.

Kiukweli kilichonishangaza siku moja mpaka naeleza hivi kuona mtu mwenye cheo cha sheik akiwaambia vijana kama kupotosha kuhusu mgogoro na vita inayoendelea huko Urusi na Ukraine. Ni kwamba Urusi inaipiga Ukraine sababu anatetea Uislamu, lengine kuhusu vita vya Kagera mpaka kuna CD zimejaza hayo hayo.

Kitu chengine sitasahau sheik mmoja anaeleza kuhusu Rwanda mauaji ya kimbali ni dini wakati ukabila na siasa.

Kuna mengi ambayo vijana wanadanganywa kwa kupandikizwa kitu bila kujua.
Hao huwa wanadanganyana sana kwenye mihadhara yao na kwa kupitia hizo CD au Flash

Wanakuambia Idd Amin alikuwa anapigania dini ya kiislam na Nyerere alikuwa anapigania Ukristo wake ikasababisha vita vya kagera vya mwaka 1978/1979[emoji23][emoji23]
Yaani kila jambo wao wanaweka kwenye mrengo wa kidini

Na ukikuta Muislam Msomi na mwenye upeo hana muda huo wa kuongelea ujinga ujinga
 
Tulia mimi najionea unavyo hangaika unategemea bibilia mpya inayo itwa kamusi a.k.a dictionary [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Leo umepewa maana zaidi ya tano ulivyo juha umezikataa zote na kuthibitisha kama ukristo ni dini pia umeshindwa

Aya twambie nani hana akili

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
kwa hiyo uislam ndiyo dini? Nini maana dini? Kila mtu ana dini yake anayeiamini, we endelea kuamini unachoamini ndio ndini yako uko huru kuamini hivyo na wengine wapewe uhuru wa kuamini dini zao
 
Ulitaka mtume atoke tanga ama?naona neno mtume linawatesa sana waisharam kama wewe,njoo jpl ukanyage mafuta.
Yaani mnyakyusa au msukuma siwez kumfuata😂😂 hata siku moja .

Hamna mtu ni urongo ! Wajinga tu ndo wanaamini
 
Kwahiyo kila ukiona maneno ya Kiarabu ni Qur'aan. Hapo kuna aya Moja tu mengine ni maneno Toka kwenye Kamusi ya Kiarabu.

Hapa ulitakiwa uulize usiandike haya uliyo yaandika unaonekana hujakaa kielimu zaidi ya kubishana na kama Kiarabu hukijui sema ufasiriwe.

Sasa unasemaje tunaogopa swali wakati mpaka Sasa nimeshakupa maana zaidi ya Tano za Dini.
Aisee, hebu jibu swali langu!!!

Acha kujieleza sana, JIBU SWALI NILILOKUULIZA.
 
......

Wakristo ni rahisi kuwashikia akili kwa sababu wanafuata wazungu na sio dini na wala yesu hawamjui..Leo wanalishwa majani kanisani eti wokozi, leo Wana madhehebu zaidi ya mia na wanachukiana eti wa huko haweza kusali huko na vicer versal.
......
Sifagilii sana mabishano ya dini mana kila mtu anavutia kwake kwa kupaka matope dini ingine. Muhamad unamjua wewe? Yule jamaa alieoa kabinti ka miaka9
 
Maana na Kiarabu kilikuwepo. Sasa hoja yako hapo Iko wapi ?
Wewe katika wavaa kobazi nakuonaga angalau una content na unaweza kujadiliana... Sasa ni nini hiki unafanya hapa?[emoji3]

Yaani unakuwa mwoga wa swali kiasi hiki?
KWA NINI HUTAKI KUJIBU SWALI LANGU?

Kwamba mpaka sasa hujaelewa swali au ndio hivyo tena umeona hutachomoka?
Umenifanya nijisikie kucheka kwa kweli....[emoji1787][emoji1787]
 
Kujitambua kuwa wewe ni nani na kuwa mdadisi ni kitu kizuri ila ukishaunganishwa imani tu basi ndo akili inapotea.

Nazungumzia ndugu zetu wenye imani ya kiislamu kwa vijana wenzangu. Maisha tunayotafuta na makazi tunaishi na watu tofauti ila bahati nzuri asilimia kubwa maeneo niliyopo na kazi asilimia kubwa wenye imani ya Kiislamu.

Kiukweli kilichonishangaza siku moja mpaka naeleza hivi kuona mtu mwenye cheo cha sheik akiwaambia vijana kama kupotosha kuhusu mgogoro na vita inayoendelea huko Urusi na Ukraine. Ni kwamba Urusi inaipiga Ukraine sababu anatetea Uislamu, lengine kuhusu vita vya Kagera mpaka kuna CD zimejaza hayo hayo.

Kitu chengine sitasahau sheik mmoja anaeleza kuhusu Rwanda mauaji ya kimbali ni dini wakati ukabila na siasa.

Kuna mengi ambayo vijana wanadanganywa kwa kupandikizwa kitu bila kujua.
Kipofu anapomuongoza kipofu mwenzake utashangaa wote kutumbukia mtaroni!
 
Sifagilii sana mabishano ya dini mana kila mtu anavutia kwake kwa kupaka matope dini ingine. Muhamad unamjua wewe? Yule jamaa alieoa kabinti ka miaka9
Kabinti cha miaka 9 unaongeal Karne ipi ? Bibi yako Karne ya 20 kaolewa na miaka 12 utasemaje ivyo na mbona sasa kuolewa juu ya 25 ni kawaida.

Usifananishe zile ni zama tofauti ndo maana manabii wengine wakiishi miaka buku je wewe baby yako haya miaka 150 alifika..

Muhamad (SAW) ni mtume wa mwenyewe Mungu.

Kijana unatakiwa usome sana la sivyo utakuja kuwa mzee mjinga sana..
 
Wewe katika wavaa kobazi nakuonaga angalau una content na unaweza kujadiliana... Sasa ni nini hiki unafanya hapa?[emoji3]

Yaani unakuwa mwoga wa swali kiasi hiki?
KWA NINI HUTAKI KUJIBU SWALI LANGU?

Kwamba mpaka sasa hujaelewa swali au ndio hivyo tena umeona hutachomoka?
Umenifanya nijisikie kucheka kwa kweli....[emoji1787][emoji1787]
Unajizima data bahati mbaya mlijazana humu mkajiona mnaakili kumbe wehu Yesu kashindwa kuthibitisha kama ukristo ni Dini [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Nenda kanunue chupi iliyoombewa kwa wachungaji wa kikristo ili upone ugumba uzae,usisahau na kofia iliyoombewa ili upate akili
pumbavu, unadhani hao wanafanya hayo ukristo unawakubali? Ukristo uko huru kupembua na kung'amua yapi ni mafundisho sahihi na yapi ni abrakadabra. Kule ukiona mambo hayako sawa unaondoka kwenda kwenye mafundisho sahihi. Kwenye uislam hakuna uhuru wa kuachana mafundisho hayo imeaminishwa ni ya kweli daima na hayabadilishwi. Kuhama tu dini hiyo mtu anaogopa yasije yakamkuta makubwa
 
Back
Top Bottom