Kuna wimbi kubwa la vijana wa Kiislamu kushikiwa akili au mawazo bila kujitambua kuwa wanapotoshwa

Kuna wimbi kubwa la vijana wa Kiislamu kushikiwa akili au mawazo bila kujitambua kuwa wanapotoshwa

Ulitakiwa ujue maana ya kubaka kabla hujatumia Tamko kubaka. Acheni utoto na ujinga ndiyo maana Kuna muda huwa naona ni ujinga kujadiliana na Wakristo yaani mnakuwa kama Masponji mnanyonya kila kimiminika.

Nasubiri uonyeshe kosa au ubaya wa kuoa mtoto wa miaka 9.
Da..... Kama wewe unaona sio kosa tenda, ila sikushauri.
 
Ndio maana Mtoa mada akakuambia mmeshikiwa AKILI.

Huwezi utenganisha uyahudi na uisrael.
Uyahudi ni Dini lakini pia ni utaifa.

Kwa mujibu wa Historia ya Waarabu kwenye vita ya pili ya dunia, Adolf Hitler alikuwa anaua Wayahudi au Waisrael? Nipe na reference.

MTU kama Albert Einstein ni Myahudi au muisrael? Uje na reference ya Historia ya kiarabu unayoitumia.

Kwa mujibu wa Historia ya Waarabu embu tueleze Zionism movement ni kitu gani?
Ili ujione ulivyokichwa Maji
Kijana usikimbie swali, nataka uonyeshe kwenye Qur'aan wapi ewataja hao kama Mayahudi. Nataka nikufundishe ya kuwa hii Elimu ni Amana, na Amana hurudishwa kwa watu wake. Acheni kushughulika na mambo msiyo yajua. Hapo unaiongelea Qur'aan ajabu hata kuisoma hujui. Halafu mje kuweza kudhibiti historia ya kuandika Historian ya Dunia ?

Hakuna taiga lililo itwa Uyahudi katika Historian sahihi. Uyahudi ni dini, na Tamko hili Lina maana nne utazikuta katika vitabu vya Historia.

Kingine usiulize maswali ya kitoto kijana, kwamba Fulani ni muisraeli au Myahudi. Taifa lililo asisiwa na kuitwa Israeli la mwaka 1948 ni zao la Wazayuni Hawa hawaingii katika nasaba zaidi ya kujipa jina tu. Na hapo kabla kuliwahi kuwepo taifa la jina Hilo zamani, ila hapajawahi kuwa na taifa liiatwalo Uyahudi.

Uzayuni ni jambo jipya Lilo kuja, na kuhusu Uzayuni, nanukuu :

"Ama Uzeyuni ni chama cha kisiasa kilichoanzishwa na Dkt. Theodore Herzl mwaka wa 1895 chenye uana memba wa Mayahudi pekee. Malengo yao yako wazi kabisa na lengo la msingi ni kuiteka na kuitawala Palestina milele. Nchi ambayo wanataka kuifanya ni ya Mayahudi pekee kusiwe na watu aina nyengine yoyote."
 
Akina Jim Jones na David Koresh na wenzao kumbe walikuwa Waislam! Tena hao ni kutokea huko kwa mnaowaona wana akili kuliko watu wote. Sijui "mazombie" wa huku wafuasi wa Kibwetere, Shilla, Tito na wengineo watakuwa katika hali gani.
Hao kina jim jones wakina nan hao😁?? Nipe intro kidogo.. Dunia ina mambo hii!!
 
Sasa MTU wa 1205 Wakati Ukristo unamiaka zaidi ya buku na history ya dunia imeshaandikwa Kwa sehemu kubwa ndio useme kuwa hakukuwa na mkristo aliyeandika Historia😂😂😂

Dini za kuletewa zinawasumbua Sana Vijana.

Niambie aliyeandika Historian ya Dunia alikuwa nani na ilikuwa lini na alipata wapi hizo habari. Usikimbie swali. Maana naona unakimbia kimbia maswali.

Kuandika siyo hoja huyu aliyeandika ameyatoa wapi haya aliyo yaandika ? Ndiyo maana huwa tuna hakiki habari.

Kijana acha porojo Jenga hoja na kosoa hoja.
 
Hayo maneno yako yana muhusu vipi Mohamed ?

Mlianza kumwambia Mohamed maneno kibao naona sasa mnageuza kibao pumbavu nyinyi.
Siku nyingine kabla hamjazungumza msiropoke

Alafu mwambie na isaka nae atafungwa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mimi nakushauri usimfuate mtume kuoa binti wa miaka 9, wewe unanituma kwa Isaka. Huyo Isaka ni juu yake na dhambi yake kama alifanya dhambi.
Watoto tuwaacje wasome.
 
Sasa acheni kuwatukana watu kwa ujinga wenu na chuki zenu. Mkiendelea hivi mtazidi kuonekana wajinga na votuko mbele ya watu wenye akili.
Nimetukana wapi, ndugu nionyeshe!
Yawezekana niliteleza NITAOMBA MSAMAHA, YAWEZEKANA MIMI MJINGA, NIONYESHE UJINGA WANGU BASI.
 
Huu uzi unaonyesha ni namna gani Wakristo hawana akili. Ukitaka kujua maana ya ujinga waangalie Wakristo na Ukristo.

Kwanini unaandika uongo ? Hakuna watu wenye kujua maana ya Dini kuwazidi Waislamu.

Sikutaka kuchangia huu Uzi, ila kwa hiki ulichokiandika nikaamua kuchangia.

Maana ya DINI, Dini ni Tamko lenye asili ya Kiarabu lenye maana ya njia, au mfumo wa maisha ya mtu kuanzia anapo amka mpaka analala, lakini imekuja maana ya Dini kwa maana ya siku ya Malipo yaani Kiyama.

Kwa maana ya njia inayomfikisha katika lengo fulani au sehemu fulani. Hii ndiyo maana ya Dini. Ndiyo maana Allah akasema hakika Dini mbele yake ni UISLAMU.

Swali lingine wapi Waislamu umewauliza swali hili wakakimbia ?
Kila mtu ana definition yake ya dini kwako hyo ni sahihi. Hata kwa RASTAFARIANS pia wana definition yao hata wahindu pia.. kila mtu ashinde mechi zake
 
Nimetukana wapi, ndugu nionyeshe!
Yawezekana niliteleza NITAOMBA MSAMAHA, YAWEZEKANA MIMI MJINGA, NIONYESHE UJINGA WANGU BASI.
Kuandika Mtume amebaka ni tusi, na huku hujui maana ya kunaka umeonyesha ulivyo mjinga wa kimatabaka.
 
Huwa nawaskitikiaga watu wanavyolilia vitu walivyovikuta , Elimikeni na mkubali kubadilika. Dini imeletwa na binadam kama nyie ili kuwatawala na kuwatia hofu, wakoloni walifanikiwa kuwashika pabaya mkashikika. Ukristu asili yake n wapi ? Uislam asili yake ni wapi? Hao waliowaletea hizo dini wamewaacha mnazozana hao hawana mda nazo....kila mtu anajiona Yeye ndo yuko upande sahihi ...siku mtakayokuja kuujua ukwel mtakua mmechelewa sana


Enyi Africa ni nan aliyewaloga? We uliwah skia mwarabu na mzungu wakitambiana haya? Wakat kiuhalisia hawa ndo waasisi wa hizi dini zote? Mmezaliwa mmezikuta mnajifanya mnazijua sana . We huyo MUNGU wa upande wako unaeamini ni yuko upande wako unauhakika na hilo?

Kila mtu aamini anachokiona kinafaa as long as havunji sheria acheni kutambiana upuuzi.
Akili kubwa
 
Unarudia tena haya lete sheria ya ndoa ya karne ya 7 inayo muhusu mtume

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sheria ya ndoa unayoitaka wewe, unaweza iweka hapa kwa faida yako; mimi naishi kwa sheria ya leo, ndio mana narudia tena kama hukunipata, usiige kuoa kabinti ka miaka 9 sheria hairuhusu ni kosa. Huelewi nini. Utaishia jera.
 
Mimi nakushauri usimfuate mtume kuoa binti wa miaka 9, wewe unanituma kwa Isaka. Huyo Isaka ni juu yake na dhambi yake kama alifanya dhambi.
Watoto tuwaacje wasome.
Hapa nyinyi mlikurupuka mkaona kama Mohamed kakosea kweli kumuoa mtoto wa miaka 9 wakati huo huo historia yenyewe haina uhakika wa huo umri wa huyo aisha.

Mara mkipigwa ban sehemu moja mnakimbilia eneo jingine kujitetea. Sisi ni wasomi tuna elewa mambo tofauti na nyinyi mambulula

Sasa ili tuwe sawa tupe hiyo sheria ya ndoa ya karne ya 7

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kuandika Mtume amebaka ni tusi, na huku hujui maana ya kunaka umeonyesha ulivyo mjinga wa kimatabaka.
Maana ya kubaka naijua, kwa sheria yetu. Ukimwingilia mtoto hata kama kakukubaria (Mmeoana) ni umebaka. Nikasema Muddy angekuwepo leo ndio kaoa, kosa hilo lingemuhusu. Sasa kwa uelewa wako wewe ulitaka tuwekeje? Kwamba kwa sheria ya sasa hakufanya kosa, kwa kuwa alifuata sheria za kipindi hicho. Tufupishe mjadala, NISAMEHE KAMA NIMEKUKWAZA SAWA.
ILA NAKUSHAULI USIMWIGE MUDDY KUOA KABINTI KA MIAKA 9, NI MAKOSA KWA SHERIA ZETU, UTABAKA NA JERA ITAKUHUSU. Watoto tuwaacbe wasome.
 
Kujitambua kuwa wewe ni nani na kuwa mdadisi ni kitu kizuri ila ukishaunganishwa imani tu basi ndo akili inapotea.

Nazungumzia ndugu zetu wenye imani ya kiislamu kwa vijana wenzangu. Maisha tunayotafuta na makazi tunaishi na watu tofauti ila bahati nzuri asilimia kubwa maeneo niliyopo na kazi asilimia kubwa wenye imani ya Kiislamu.

Kiukweli kilichonishangaza siku moja mpaka naeleza hivi kuona mtu mwenye cheo cha sheik akiwaambia vijana kama kupotosha kuhusu mgogoro na vita inayoendelea huko Urusi na Ukraine. Ni kwamba Urusi inaipiga Ukraine sababu anatetea Uislamu, lengine kuhusu vita vya Kagera mpaka kuna CD zimejaza hayo hayo.

Kitu chengine sitasahau sheik mmoja anaeleza kuhusu Rwanda mauaji ya kimbali ni dini wakati ukabila na siasa.

Kuna mengi ambayo vijana wanadanganywa kwa kupandikizwa kitu bila kujua.
Mkuu naomba unieleweshe kidogo sijakuelewa,, hivi wakristo hao unaowasifia wameelimika ndio hawa waliombiwa na papa mwanaume kufihlwah sio dhambi au unawazungumzia hawa waliokufa kwa kukanyagana kisa kugombea mafuta kwa mwamposa,,?🤔
 
Back
Top Bottom