Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 4,718
- 3,804
Da..... Kama wewe unaona sio kosa tenda, ila sikushauri.Ulitakiwa ujue maana ya kubaka kabla hujatumia Tamko kubaka. Acheni utoto na ujinga ndiyo maana Kuna muda huwa naona ni ujinga kujadiliana na Wakristo yaani mnakuwa kama Masponji mnanyonya kila kimiminika.
Nasubiri uonyeshe kosa au ubaya wa kuoa mtoto wa miaka 9.