ujinga gani nimeandika kwenye post yangu? Read between line, nimeandika kule kwenye ukristo hakuna kuburuzwa. Hao manabii na mitume wa maji na mafuta jamii ya wakristo inawaona kama ni matapeli tu kwa kuwa hawafundishi utakatifu ambao ndiyo msingi mkuu wa ukristo, wale wanafanya blablaa tu na ndiyo maana wanawanasa wasioujua ukristo. Mkristo aliyelelewa na kukulia katika maisha ya wokovu hawezi kuburuzwa na hao mitume na manabii wa mchongo. Huko kwenye dini unayoipambania hakuna uhuru wa kuchunguza ukweli wa mafundisho yake, waumini wameaminishwa ni ukweli mtupu na hauhojiwi wala kuchunguzwa