Kuna wimbi kubwa la vijana wa Kiislamu kushikiwa akili au mawazo bila kujitambua kuwa wanapotoshwa

Kuna wimbi kubwa la vijana wa Kiislamu kushikiwa akili au mawazo bila kujitambua kuwa wanapotoshwa

Wewe Utakuwa umebebeshwa ujauzito na Mkatoliki halafu Kwasababu ya tabia yako chafu na mbaya akakuterekeza, Maana Kwenye Comment zako nyingi huachi kutaja RC,lkn pole kwa yaliyokukuta.Chuki dhidi ya RC hazitakusaidia wala kukupeleka popote.Wewe huna tofauti na Vijana wa Kiislamu walioaminishwa kuwa Ukristo ni mbaya wakajenga chuki dhidi yake.
povu la nini we mkatoliki? Umetupiwa cha moto na we unatupa kwa waislam, huna tofauti na uliyem quote
 
Kujitambua kuwa wewe ni nani na kuwa mdadisi ni kitu kizuri ila ukishaunganishwa imani tu basi ndo akili inapotea.

Nazungumzia ndugu zetu wenye imani ya kiislamu kwa vijana wenzangu. Maisha tunayotafuta na makazi tunaishi na watu tofauti ila bahati nzuri asilimia kubwa maeneo niliyopo na kazi asilimia kubwa wenye imani ya Kiislamu.

Kiukweli kilichonishangaza siku moja mpaka naeleza hivi kuona mtu mwenye cheo cha sheik akiwaambia vijana kama kupotosha kuhusu mgogoro na vita inayoendelea huko Urusi na Ukraine. Ni kwamba Urusi inaipiga Ukraine sababu anatetea Uislamu, lengine kuhusu vita vya Kagera mpaka kuna CD zimejaza hayo hayo.

Kitu chengine sitasahau sheik mmoja anaeleza kuhusu Rwanda mauaji ya kimbali ni dini wakati ukabila na siasa.

Kuna mengi ambayo vijana wanadanganywa kwa kupandikizwa kitu bila kujua.
Wewe unaamini kuwa asili yakoinatokana na mabadiliko mbalimbali kutokea kuwa nyani!
Unaamini kuwa kitendo cha kuuawa Gaddafi kwamba alikuwa dikteta na wananchi wake walikuwa hawamtaki.
Unaamini kuwa Saddam Hussein alikuwa anamiliki silaha za maangamizi mpaka kuidhinishwa kuuawa
Unaamini mapinduzi ya Znz yaliletwa na karume n.k
Fikirisha ubongo lile ambalo upo unaliona kwa macho changanua kwa kutumia ubongo usitumie kama mfuniko wa shingo.
 
Ohoo mngefira.na sana nyie mshukuru angalau uislam unapinga hadharani matendo ya ufiraji laasivyo mzee ungekua umeolewa muda huu kwa amri ya papa utake usitake.
Hakuna jamii inayoongoza kwa ufir@ji kama jamii ya kiarabu na ndio wavaa kobaaz umo wamejaa tele. Bora wazungu wanaweka wazi ila ninyi munajifanya kupinga adharani wakati madrassa Oustaz wanawalawiti watoto kila siku.
 
Unadanganywa na mtume mnyakyusa mshamba kabisa[emoji3]
Kwahiyo mtume ni lazima awe mwarabu? Kuna shaikh mmoja anawaagiza Waislamu wajifunze kiarabu maana ndiyo itakua lugha ya peponi [emoji24][emoji24][emoji24]
Hapo kwenye unyakyusa ndiyo umenigusa maana Dini na taifa, unaweza kuhama Lakini kabila ni inborn and inseparable!
Hizo programed minds za kufia Dini endelea nazo, maana hutakua wa kwanza,wamepotea akina Osama,iwe nyie, halafu zamani watu walikua coward, Lakini siku hizi, when you carry AK-47, they hold UZI asault rifle from Israel, and at the end only rocks will remain!
 
Kukubali ukweli ni uungwana na busara kuliko kubisha na kuporomosha matusi. Kama unaambiwa kitu fulani hakiko sawa ni ulaghai tu ni bora kuchunguza huo ulaghai ni kweli ulifanywa? Na ulifanywa kwa lengo gani? Ukweli utakuweka huru
 
Uo ni utamaduni wa wayahudi wa kale na nyie mukaja kuiga..tatizo nyie watu wa Mwinyaaz munaona dini yenu kama lulu vile wakati mumeleta tafrani duniani..kwa mfano kulazimisha watu kuamini uislam uo ni upumbavu. Mtu mwenye akili timamu hawezi kuwa mvaa kobaaz na kupita mbele ya watu kupiga takbiiirr au kuvaa mabomu na kwenda kujitoa muhanga eti kumpigania Allah [emoji3][emoji3][emoji3]. Halafu baada ya apo kuna mabikra 72 uko akhera madukani [emoji1787][emoji1787][emoji1787] amuoni kama mumechanganyikiwa nyie watu?
Kwa hiyo yesu pia kavaa kobaz

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna jamii inayoongoza kwa ufir@ji kama jamii ya kiarabu na ndio wavaa kobaaz umo wamejaa tele. Bora wazungu wanaweka wazi ila ninyi munajifanya kupinga adharani wakati madrassa Oustaz wanawalawiti watoto kila siku.
Hayo ni maneno yako ona uhalisia huu makanisani kuku nyie
24771_dc74wc_329795.jpg

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hapa utajitoa mhanga kwa nani Wakati nyie ni mashemeji zetu,tumeoa dada zenu,mmeo dada zetu,mnaona bora mtuvumilie tu hamna namna [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaani uniue mimi wajomba zako wateseke? Huko peponi utapaona kupitia TBC tu
Usijichekeshe imefikia mnafanywa wapumbavu mpaka mnapigwa moto makanisani

Nyie si wajinga kabisa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Izo zote ni agenda ambazo zimeanzishwa tu na watu wachache kwa maslahi yao binafsi ambapo wengi ni wapagani au wapinga kristo hawafuati ukristo kabisa. Je kuhusu ninyi dini ya Mwinyaaz Mungu je ni mambo mangapi mumefanya yaliyoleta matatizo kwenye jamii. Angalia inchi za kiarabu, ndio watu makatili zaidi duniani; hakuna utu kule. Hamjiamini ndio maana munatumia nguvu kubwa sana kuwaaminisha watu kuwa nyie ni wa haki na Allah keshawaahidi wanaume wavaa kobaaz mabikra 72 uko Akhera madukani ndio maana munapatwa na kichaa munawehuka munampigania Allah kwa kujitoa muhanga eti kumuua kafiri dah!?
Hizo sio agenda ni mambo yaliyo tokea makubwa zaidi duniani yaliyo fanywa na wakristo
Mnajizima data au

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kukubali ukweli ni uungwana na busara kuliko kubisha na kuporomosha matusi. Kama unaambiwa kitu fulani hakiko sawa ni ulaghai tu ni bora kuchunguza huo ulaghai ni kweli ulifanywa? Na ulifanywa kwa lengo gani? Ukweli utakuweka huru
Ndio mnapaswa kukichunguza kwanini munaburuzwa mpaka mnalishwa nyasi kama sungura

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu siku hizi kuna" Makuhani, manabii na Mitume wengi sana wanaowaamisha kuwa wameongea na Kristo wawauzie maji na mafuta yanayoponyesha kila kitu mpaka umasikini
Sasa rudia kusoma posti yako, utajua umeandika uj....
ujinga gani nimeandika kwenye post yangu? Read between line, nimeandika kule kwenye ukristo hakuna kuburuzwa. Hao manabii na mitume wa maji na mafuta jamii ya wakristo inawaona kama ni matapeli tu kwa kuwa hawafundishi utakatifu ambao ndiyo msingi mkuu wa ukristo, wale wanafanya blablaa tu na ndiyo maana wanawanasa wasioujua ukristo. Mkristo aliyelelewa na kukulia katika maisha ya wokovu hawezi kuburuzwa na hao mitume na manabii wa mchongo. Huko kwenye dini unayoipambania hakuna uhuru wa kuchunguza ukweli wa mafundisho yake, waumini wameaminishwa ni ukweli mtupu na hauhojiwi wala kuchunguzwa
 
Huko kwa wapumbavu ndio hawaoji jitu linauziwa papai la temeke alafu lina ambiwa limetokea kwa Yesu huo si upumbavu wa kiwango cha lami

Kweli wakristo nyie ni wapumbavu zaidi na ni makanisa karibu yote mnaongopewa mpaka sasa hamuwezi kuthibitisha kama ukristo ni Dini au kituko

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Izo zote ni agenda ambazo zimeanzishwa tu na watu wachache kwa maslahi yao binafsi ambapo wengi ni wapagani au wapinga kristo hawafuati ukristo kabisa. Je kuhusu ninyi dini ya Mwinyaaz Mungu je ni mambo mangapi mumefanya yaliyoleta matatizo kwenye jamii. Angalia inchi za kiarabu, ndio watu makatili zaidi duniani; hakuna utu kule. Hamjiamini ndio maana munatumia nguvu kubwa sana kuwaaminisha watu kuwa nyie ni wa haki na Allah keshawaahidi wanaume wavaa kobaaz mabikra 72 uko Akhera madukani ndio maana munapatwa na kichaa munawehuka munampigania Allah kwa kujitoa muhanga eti kumuua kafiri dah!?
Unaona ulivyokuwa zezeta. Ukiambiwa ulete ushahidi wa hayo unayoyasema unaweza kuonesha chanzo wapi pameonesha kila mwanaume wanapata bikra 72. Hao waliokumezesha hayo ndiyo hao hao wanaosema LGBT ni mambo mazuri. Inawezekana muda sio mrefu mtajiunga nao. Mi nilijua ulisikia kwa waislamu wenyewe hata hapa Tanzania, kumbe kwa wazee wa LGBT ambao wamefanikiwa kupenyeza vitu vyao kila sehemu. Ulivyokuwa zezeta utasema wale wanaofanya vile sababu wapinga kristo.
Wakina King Leopald II walikuwa wananyonga hadi watoto huko Congo kwa kutumia biblia unaongea pumba kwa kusema watu wachache. Kuna "The Slave Bible" ipo washington Museum hata ukitafuta ipo mitandaoni iliyotumia kwa ajili ya kuwaadhibu watumwa ila mlivyo mazezeta hamyajui hayo kwa kuwa mnamezeshwa ameyasema yupi.
Kama una akili, pitia "The Slave Bible" ipo youtube ujifunze tena imehifadhiwa na hao watu wenu wakizungu wanaowabadilisha biblia.
Pia bila kusahau kuna "New Revised Standard International Version" ya 2021 kuna zile aya zinazohusu LGBT wamezifanyia modification hadi kuna baadhi wamepinga ila huku kwenye mazezeta haswa nchi za Africa mtake au msitake mtakubali tu.
 
Huko kwa wapumbavu ndio hawaoji jitu linauziwa papai la temeke alafu lina ambiwa limetokea kwa Yesu huo si upumbavu wa kiwango cha lami

Kweli wakristo nyie ni wapumbavu zaidi na ni makanisa karibu yote mnaongopewa mpaka sasa hamuwezi kuthibitisha kama ukristo ni Dini au kituko

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
kwani wanaoaminishwa hayo mapapai ya temeke wanatoka dini gani? Mkristo aliyelelewa na kuukulia wakovu ambayo ni msingi mkubwa wa ukristo hawezi kutekwa na hayo mapapai, ni waislam tu ndiyo wanatekwa na mapapai hayo. Mungu awasaidie kuijua kweli ili iwaweke huru
 
Back
Top Bottom