Kuna wimbi kubwa la vijana wa Kiislamu kushikiwa akili au mawazo bila kujitambua kuwa wanapotoshwa

Kujitambua kuwa wewe ni nani na kuwa mdadisi ni kitu kizuri ila ukishaunganishwa imani tu basi ndo akili inapotea.

Nazungumzia ndugu zetu wenye imani ya kiislamu kwa vijana wenzangu. Maisha tunayotafuta na makazi tunaishi na watu tofauti ila bahati nzuri asilimia kubwa maeneo niliyopo na kazi asilimia kubwa wenye imani ya Kiislamu.

Kiukweli kilichonishangaza siku moja mpaka naeleza hivi kuona mtu mwenye cheo cha sheik akiwaambia vijana kama kupotosha kuhusu mgogoro na vita inayoendelea huko Urusi na Ukraine. Ni kwamba Urusi inaipiga Ukraine sababu anatetea Uislamu, lengine kuhusu vita vya Kagera mpaka kuna CD zimejaza hayo hayo.

Kitu chengine sitasahau sheik mmoja anaeleza kuhusu Rwanda mauaji ya kimbali ni dini wakati ukabila na siasa.

Kuna mengi ambayo vijana wanadanganywa kwa kupandikizwa kitu bila kujua.

Sorry kwenye uislamu Hakuna vyeo
 
Hii sio sawa kabisa, tutakuja kuwa taifa la hovyo sana kama tutaendelea kuwa na akili za kupotoshana na kushikiliwa.
 
Kuna tofauti ya kuonwa punguani na kuwa punguani,waisrael hata Yesu hawamtaki[emoji23][emoji23],itakuwaje wawaelewe wakristo??

JINGA
Kwani wewe unamtaka Yesu ambaye unampinga alipokwambia yeye ana Mungu ambaye ni Mungu wenye , Nyinyi mnampinga mnasema yeye Ndiye mungu?
 
Thibitisha kwanza kama huo ukristo ni dini alafu ndio uendelee na porojo zako

Unafanya upumbavu unasema ujinga mnachomwa mpaka moto

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
jibu hoja, unataka uthibitisho gani wakati hata wewe huna hoja ya kuthibitisha uislam ni dini ya kweli? Mkiambiwa ni utamaduni wa kiarabu na uliletwa na waarabu msibishe
 
Kujitambua kuwa wewe ni nani na kuwa mdadisi ni kitu kizuri ila ukishaunganishwa imani tu basi ndo akili inapotea.

Nazungumzia ndugu zetu wenye imani ya kiislamu kwa vijana wenzangu. Maisha tunayotafuta na makazi tunaishi na watu tofauti ila bahati nzuri asilimia kubwa maeneo niliyopo na kazi asilimia kubwa wenye imani ya Kiislamu.

Kiukweli kilichonishangaza siku moja mpaka naeleza hivi kuona mtu mwenye cheo cha sheik akiwaambia vijana kama kupotosha kuhusu mgogoro na vita inayoendelea huko Urusi na Ukraine. Ni kwamba Urusi inaipiga Ukraine sababu anatetea Uislamu, lengine kuhusu vita vya Kagera mpaka kuna CD zimejaza hayo hayo.

Kitu chengine sitasahau sheik mmoja anaeleza kuhusu Rwanda mauaji ya kimbali ni dini wakati ukabila na siasa.

Kuna mengi ambayo vijana wanadanganywa kwa kupandikizwa kitu bila kujua.
Wewe mwenyewe inaonekana ni mtu mwenye hofu na kinyongo na waislamu.Ukisikia mtu mmoja akitamka kitu kuhusu waislamu unaamini hata kama ni maoni tu.Tena unasema mwenye cheo cha sheikh. Sisi waislamu kiakili tuko makini sana kuliko wewe na wenzako.Hatudanganywi kwa sababu dini yetu ndio inayohimiza udadisi na kutumia bongo kufikiri.
 
Kinyongo gani ? Zile cd za mazige na abdul logo nilitengeneza mimi
 
jibu hoja, unataka uthibitisho gani wakati hata wewe huna hoja ya kuthibitisha uislam ni dini ya kweli? Mkiambiwa ni utamaduni wa kiarabu na uliletwa na waarabu msibishe

Achana na uislam,kuthibitisha tu utume wa muhamad ni zoezi zito sana kwa muislam.
 
Back
Top Bottom