Kuna wimbi kubwa sana la Ulimbukeni na ushamba kwa Watanzania hasa Mtu akijua kusoma na kuandika

Dini ya kiislam ina tamaduni za kiarabu, halikadhalika ukristo unatamaduni za huko mashariki ya kati na ulaya. Yani kimsingi bado tunatembea kwenye asili za watu. Kwanini tuache asili yetu?
 
Mkuu mie nachukia sana utumwa wa kifikra....unaogopa kutaja jina LA asili yako why?.Watanzania tuamke tuache kuogelea juu ya utamaduni wa watu wengine tunadharaulika sana. Majina yaliyokuja na meli tuachane nayo huo no utumwa!!!
 
Sema usemavyo ndio ishakua siwezi kuanza kumpa mwanangu jina la mwafilombe au mangungo kipindi hichi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna hili jina Chogolo sijui limekaa je. Kuna majina yalioenda shule kama Chris Wallace, Franco Da'costa, Rodger Stones, Mcmanaman Littlejohn.
 
Bush aliyepata kuwa Rais wa nchi fulani, kiswahili ni Kichaka, sijui hili nalo ni la mitishamba? Au kwa vile liko kwa kinge basi halina shida.

Bush ni surname ata huku kuna surname za katembo, ngonyani, simba nk nk.
 
Kama unaandika vyeti hospitali,kanakuja katoto kamenyolewa kiduku kamevalishwa kipensi na ka singland halafu kamepewa simu ya Baba au mama yake kachezee game au kaangalie Tom na jerry...ukiuliza jina lake nani?
Utasikia anaitwa Junior au Jaden.
Kwa kweli majina hayo yameshika kasi sana sana kwa hawa vijana waliosoma soma miaka hii ulimbukeni umewajaa wakujiona ni wazungu kisa degree walizopata kwa hiyo ili kuweka gap na watu wasiosoma ni kuwapa watoto wao majina ya kilimbukeni.
 
Dini ya kiislam ina tamaduni za kiarabu, halikadhalika ukristo unatamaduni za huko mashariki ya kati na ulaya. Yani kimsingi bado tunatembea kwenye asili za watu. Kwanini tuache asili yetu?
Nakaziaaaa.
Watanzania tupunguze ulimbukeni na Ushamba tuite watoto wetu majina yenye asili ya kwetu. Hayo Majina ya Wacheza Por-n wa Hollywood akina Jada, Isabela, Floyd nk mtakuja kubakwa na watoto wenu hivi hivi.
Kuna Mfipa mmoja wattoto kaita Roooney, Beckam, Fletcher nk. Nikajisemea hiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Hayo ni maamuzi binafsi ya mtu
Ni maamuzi yanayiambatana na utumwa!!! Huwezi na hutasikia mzungu akiitwa atupele,mchina akaitwa bhoke ,mfaransa akaitwa mkude!!! Wao hawana maamuzi!?? Tukubali huu ni ulimbukeni na ushamba utumwa umetujaa vichwan ndiio ndio maana twaitwa kima
 
Mkuu wasikupe tabu hao.

We zaa tu watoto wako uwaite Atupakisye na Ndumieshiwakwe.

Wasikusumbue kabisa akili hawa akina Baba na Mama Junyia.
 
Tusipangiane, watoto wangu nawaita majina ninayopenda! Zaa wakwako waite majina ya mitishamba.
Sijaehi kusikia mzungu anaitwa atupele!! Sijawahi sijia mwarabu anaitwa bhoke!! Cjaona mmarekan akiitwa kamugisha!! Cjaona mbrligiji akiitwa namkunda!!! Cjaona mreno akiitwa chuwa au limo!!!!tukubali ukweli waafrika ni watumwa na akili zao ni za kitumwa!??
Eti ni maamuzi!!!:maamuzi ya kitumwa!?? Waafrica hajiamini ndio maana mnavaa mawigi na kujichubua!!!
Yan race mataifa mengine wasiwe na maamuzi ya kuiga majina ya waafrika!!! Ila waafrika ndio waige majina ya wengine!?
 
Boss mzungu anaakili kukuzidi wee kataa kubali huo ndio ukweli
 
Aisee uku mtaani kwetu wadada wengi waliozalishwa home kwa wazazi majina yao ni JAYDEN na NILLAN... Kila demu akizalishwa ni majina ayo ayo. Ni ushamba kinoma aiseee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…