Ina maana gani kwa kisukuma ?
Kijana mchapa kazi.Ina maana gani kwa kisukuma ?
Nimesoma id yako nikaona ninyamazeDunia nzima ukisikia jina Ukechukwu, Obina directly linakupeleka kwenye asili yake. Ukisikia Patel, Sanjay, unapata asili yake. Ukisikia Yamamoto, Sadaaki Numata unapata mwanga huyo asili yake wapi. Hali kadhalika kwa Tanzania ukisikia majina kama Kamugisha, Aika, Bhoke unapata picha asili yao.
Nisiandike mengi lakini kuna nguvu katika kuikubali asili yako. Kwanza inaonesha ni jinsi gani kama jamii husika mnajiamini. Pili inapeleka ujumbe kuwa mnauimara na asili yenu na historia yenu.
Sasa tuje kizazi cha sasa, kuna wimbi kubwa sana la 'Ulimbukeni' na ushamba (ndio hivo) miongoni mwetu Watanzania hasa mtu akijua kusoma na kuandika au akiongeza na ka elimu kengine kwa juu. Kidogo utaskia mwanangu anaitwa Jayden, Brighton, Luqman, Norman, Umulkheir, Lincoln, Gianna mara Jadon, haya majina nimeyataja maksudi kwasababu yalikuja juzi juzi tu na upepo wa karate kid 2.
Basi mtanganyika hapo akafanikiwa kumpeleka english medium alafu ukakakuta kwenye watu wengi alafu kakaongea vile vingereza yani watu wanakafanya kavutio cha utalii kabisa kisa kinge. Yani bongo bana. Yani wanaona big deal yani hapo ndio mafanikio yapo kileleni kwa akili za Watanzania. Akili za kitumwa.
Kuna usemi "mkataa kwao mtumwa". Huu usemi una maana kubwa sana. Ukiangalia majina niliyoyataja hapo mwanzo , mataifa yao na yakwetu tunaojidharau asili zetu maendeleo ni tofauti kabisa. Nigeria pamoja na kuwa ni Africa, bado wanafahamika na kuheshimika sana kuanzia kwenye michezo mpaka sayansi. Hali kadhalika Japan , India pia. Ila sisi ambao utakuta mtoto anaitwa Jaden John Emmanuel ndio tupo kama tulivyo.
Wito wangu, ifike mahali tuache ulimbukeni, tujikubali kwanza ndio dunia itatukubali. Nimeamua mimi watoto wangu wote nawapa majina ya kinyumbani yenye maana nzuri ambayo ata padri wakati wa kubatiza hatutasumbuana. Yani ninataka kutengeneza identity. Kataa utumwa wewe chausiku.
Huyo bwana ni mshamba tuu , anakwambia majina ya kiafrika mabaya[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ukimuuliza ubaya wake upi hawezi elezeaBush aliyepata kuwa Rais wa nchi fulani, kiswahili ni Kichaka, sijui hili nalo ni la mitishamba? Au kwa vile liko kwa kinge basi halina shida.
Kisa niniSema usemavyo ndio ishakua siwezi kuanza kumpa mwanangu jina la mwafilombe au mangungo kipindi hichi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii bangi unayovuta sio ya nchi hii 😃Kijana mchapa kazi.
Tusipangiane, watoto wangu nawaita majina ninayopenda! Zaa wakwako waite majina ya mitishamba.
Brown, Green, Rider, WalkerBush aliyepata kuwa Rais wa nchi fulani, kiswahili ni Kichaka, sijui hili nalo ni la mitishamba? Au kwa vile liko kwa kinge basi halina shida.
Hao watu wa utamaduni, maendeleo ya jamii n.k wanalipwa mishahara ya bure. Wanakuza tamaduni za wenzetu badala ya zetu. Maadili yanamomonyoka wao wanakenua meno tu na kula kodi zetu. Tume ya sayansi na technology sijui imepiga hatua gani kwenye kuendeleza mazuri na ya kisayansi ya mira na destuli zetu. Yaani sikuhizi maisha ni ya tamthiria tu. Kizazi hiki kinalelewa na tv.Dunia nzima ukisikia jina Ukechukwu, Obina directly linakupeleka kwenye asili yake. Ukisikia Patel, Sanjay, unapata asili yake. Ukisikia Yamamoto, Sadaaki Numata unapata mwanga huyo asili yake wapi. Hali kadhalika kwa Tanzania ukisikia majina kama Kamugisha, Aika, Bhoke unapata picha asili yao.
Nisiandike mengi lakini kuna nguvu katika kuikubali asili yako. Kwanza inaonesha ni jinsi gani kama jamii husika mnajiamini. Pili inapeleka ujumbe kuwa mnauimara na asili yenu na historia yenu.
Sasa tuje kizazi cha sasa, kuna wimbi kubwa sana la 'Ulimbukeni' na ushamba (ndio hivo) miongoni mwetu Watanzania hasa mtu akijua kusoma na kuandika au akiongeza na ka elimu kengine kwa juu. Kidogo utaskia mwanangu anaitwa Jayden, Brighton, Luqman, Norman, Umulkheir, Lincoln, Gianna mara Jadon, haya majina nimeyataja maksudi kwasababu yalikuja juzi juzi tu na upepo wa karate kid 2.
Basi mtanganyika hapo akafanikiwa kumpeleka english medium alafu ukakakuta kwenye watu wengi alafu kakaongea vile vingereza yani watu wanakafanya kavutio cha utalii kabisa kisa kinge. Yani bongo bana. Yani wanaona big deal yani hapo ndio mafanikio yapo kileleni kwa akili za Watanzania. Akili za kitumwa.
Kuna usemi "mkataa kwao mtumwa". Huu usemi una maana kubwa sana. Ukiangalia majina niliyoyataja hapo mwanzo , mataifa yao na yakwetu tunaojidharau asili zetu maendeleo ni tofauti kabisa. Nigeria pamoja na kuwa ni Africa, bado wanafahamika na kuheshimika sana kuanzia kwenye michezo mpaka sayansi. Hali kadhalika Japan , India pia. Ila sisi ambao utakuta mtoto anaitwa Jaden John Emmanuel ndio tupo kama tulivyo.
Wito wangu, ifike mahali tuache ulimbukeni, tujikubali kwanza ndio dunia itatukubali. Nimeamua mimi watoto wangu wote nawapa majina ya kinyumbani yenye maana nzuri ambayo ata padri wakati wa kubatiza hatutasumbuana. Yani ninataka kutengeneza identity. Kataa utumwa wewe chausiku.
Itakuwa uliishiwa pesa ya sikukuu, Yamoto, Mitimingi, Sato, Masaki, Kumamoto, Kazimoto haya yote majina ambayo wajapani wanayatumia. Mimi Chirwa siyo msomali lakini wasomali wanalitumia jina hilo, Mbowe unajua ni mchaga lakini wanyasa wanalitumia jina hilo, Kabwe ni mtu wa Kigoma, lakini Zambia na Malawi wanalitumia jina hilo, Watonga ni kabila huko Zambia na Malawi lakini huko Mashariki ya Mbali kuna visiwa vya Tonga wanaishi watonga.Nakushauri majina usiyahusishe na kabila au dini.Dunia nzima ukisikia jina Ukechukwu, Obina directly linakupeleka kwenye asili yake. Ukisikia Patel, Sanjay, unapata asili yake. Ukisikia Yamamoto, Sadaaki Numata unapata mwanga huyo asili yake wapi. Hali kadhalika kwa Tanzania ukisikia majina kama Kamugisha, Aika, Bhoke unapata picha asili yao.
Nisiandike mengi lakini kuna nguvu katika kuikubali asili yako. Kwanza inaonesha ni jinsi gani kama jamii husika mnajiamini. Pili inapeleka ujumbe kuwa mnauimara na asili yenu na historia yenu.
Sasa tuje kizazi cha sasa, kuna wimbi kubwa sana la 'Ulimbukeni' na ushamba (ndio hivo) miongoni mwetu Watanzania hasa mtu akijua kusoma na kuandika au akiongeza na ka elimu kengine kwa juu. Kidogo utaskia mwanangu anaitwa Jayden, Brighton, Luqman, Norman, Umulkheir, Lincoln, Gianna mara Jadon, haya majina nimeyataja maksudi kwasababu yalikuja juzi juzi tu na upepo wa karate kid 2.
Basi mtanganyika hapo akafanikiwa kumpeleka english medium alafu ukakakuta kwenye watu wengi alafu kakaongea vile vingereza yani watu wanakafanya kavutio cha utalii kabisa kisa kinge. Yani bongo bana. Yani wanaona big deal yani hapo ndio mafanikio yapo kileleni kwa akili za Watanzania. Akili za kitumwa.
Kuna usemi "mkataa kwao mtumwa". Huu usemi una maana kubwa sana. Ukiangalia majina niliyoyataja hapo mwanzo , mataifa yao na yakwetu tunaojidharau asili zetu maendeleo ni tofauti kabisa. Nigeria pamoja na kuwa ni Africa, bado wanafahamika na kuheshimika sana kuanzia kwenye michezo mpaka sayansi. Hali kadhalika Japan , India pia. Ila sisi ambao utakuta mtoto anaitwa Jaden John Emmanuel ndio tupo kama tulivyo.
Wito wangu, ifike mahali tuache ulimbukeni, tujikubali kwanza ndio dunia itatukubali. Nimeamua mimi watoto wangu wote nawapa majina ya kinyumbani yenye maana nzuri ambayo ata padri wakati wa kubatiza hatutasumbuana. Yani ninataka kutengeneza identity. Kataa utumwa wewe chausiku.
Sawa Nyangema umesikikaDunia nzima ukisikia jina Ukechukwu, Obina directly linakupeleka kwenye asili yake. Ukisikia Patel, Sanjay, unapata asili yake. Ukisikia Yamamoto, Sadaaki Numata unapata mwanga huyo asili yake wapi. Hali kadhalika kwa Tanzania ukisikia majina kama Kamugisha, Aika, Bhoke unapata picha asili yao.
Nisiandike mengi lakini kuna nguvu katika kuikubali asili yako. Kwanza inaonesha ni jinsi gani kama jamii husika mnajiamini. Pili inapeleka ujumbe kuwa mnauimara na asili yenu na historia yenu.
Sasa tuje kizazi cha sasa, kuna wimbi kubwa sana la 'Ulimbukeni' na ushamba (ndio hivo) miongoni mwetu Watanzania hasa mtu akijua kusoma na kuandika au akiongeza na ka elimu kengine kwa juu. Kidogo utaskia mwanangu anaitwa Jayden, Brighton, Luqman, Norman, Umulkheir, Lincoln, Gianna mara Jadon, haya majina nimeyataja maksudi kwasababu yalikuja juzi juzi tu na upepo wa karate kid 2.
Basi mtanganyika hapo akafanikiwa kumpeleka english medium alafu ukakakuta kwenye watu wengi alafu kakaongea vile vingereza yani watu wanakafanya kavutio cha utalii kabisa kisa kinge. Yani bongo bana. Yani wanaona big deal yani hapo ndio mafanikio yapo kileleni kwa akili za Watanzania. Akili za kitumwa.
Kuna usemi "mkataa kwao mtumwa". Huu usemi una maana kubwa sana. Ukiangalia majina niliyoyataja hapo mwanzo , mataifa yao na yakwetu tunaojidharau asili zetu maendeleo ni tofauti kabisa. Nigeria pamoja na kuwa ni Africa, bado wanafahamika na kuheshimika sana kuanzia kwenye michezo mpaka sayansi. Hali kadhalika Japan , India pia. Ila sisi ambao utakuta mtoto anaitwa Jaden John Emmanuel ndio tupo kama tulivyo.
Wito wangu, ifike mahali tuache ulimbukeni, tujikubali kwanza ndio dunia itatukubali. Nimeamua mimi watoto wangu wote nawapa majina ya kinyumbani yenye maana nzuri ambayo ata padri wakati wa kubatiza hatutasumbuana. Yani ninataka kutengeneza identity. Kataa utumwa wewe chausiku.
Huyo jamaa anaeza ila hata Campbell Soil akaona ni bonge la jina huku kakwepa jina la Kengele Magegebu.Bush aliyepata kuwa Rais wa nchi fulani, kiswahili ni Kichaka, sijui hili nalo ni la mitishamba? Au kwa vile liko kwa kinge basi halina shida.
Mobutu Sese Seko Kuku Ngbendu Wa Za Banga ndio aliwakomesha Wacongo Zaire kwa kuwawekea sheria ya kuita majina ya kiasili wote na kuyabadili yale ya kitumwa.Umenena vema sana….ubovu wetu mkubwa ni kukumbatia tamaduni za kigeni eti ndio ujanja….na katika kila nyanja ya maisha…
hahahaTusipangiane, watoto wangu nawaita majina ninayopenda! Zaa wakwako waite majina ya mitishamba.
Kwahiyo majina ya asili ndio yanafanya uwe mwanasayansi bora au mwanamichezo bora?😁 akili finyu sana hizi👎Dunia nzima ukisikia jina Ukechukwu, Obina directly linakupeleka kwenye asili yake. Ukisikia Patel, Sanjay, unapata asili yake. Ukisikia Yamamoto, Sadaaki Numata unapata mwanga huyo asili yake wapi. Hali kadhalika kwa Tanzania ukisikia majina kama Kamugisha, Aika, Bhoke unapata picha asili yao.