Kuna wimbo wa watu wa Afrika Magharibi nautafuta ulikua wapigwa ITV miaka ya 90

From Meru

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2023
Posts
3,931
Reaction score
9,376
Kwa wajuzi mtu akiweza kuutambua kwa jinsi ntavyokua najaribu kuufanya aujue kuna elfu 20 yake
 
Kunavitu vingine huwa vinauma sana moyoni kuvisahau

1.me kuna filamu fulani tvt mtu na mdogo wake wanaenda mjini toka moro..wa kiume anakuwa teja wakike anakuwa malaya

2.kuna zile zakina bi mchau kuna mateja uswahilini

3.kuna ile ya nyani king itv hio nishaijuaga

4.nitalipataje tunda mwijuma hio naijua

5.star TV sasa wanaanza kulia eeh eeh ooh nuhu tufungulie safina..!!fm academy wanadnanda cosovo.binadamu kidedea
6.kilimanjaro tupendane..itv sana na kina muumini

Old memories huwa nzuri sana unatamani maisha yarudi nyuma hayarudi
 
No:3 Ilikuwa cartoon yangu pendwa Master Shivoo na wale nyani na nguruwe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na nyingine ya Scooby Doo
 
morogoro morogoro morogoro na tulale wapi yo na tulale wapi na mango paaaaakiiiiiiiii
 
No:3 Ilikuwa cartoon yangu pendwa Master Shivoo na wale nyani na nguruwe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na nyingine ya Scooby Doo
Master shivoo nimekuja kuijua jina baadae sana miaka ya juzi tu ila kwa miaka zaidi ya kumi nilishindwa niipataje sikuwa na idea.
Scooby niliipenda zamani ila siku hzi nikicheki youtube hazininogei tena

Ila popeye the sailor na Tom and jerry hizo asee bado zina taste ile mbaÿaaaaaa nazikubali
 
daaah na producer ni allan mapigo, senteeeee
Nilikuwaga najua ni background music la tamthilia fulani star tv ila leo nikapata wazo ni search YouTube nikaandika ooh nuhu tufungulie safina..ndo nikapata kujua kumbe ni fm academy dooh.....sasa kuna movie fulani ya bongo fleva mateja wa uswazi ya enzi hizo nadhani mburahati,au kigogo,au manzese ile sijui kama ipo mtandaoni. Naitaman niicheki nijue hali halisi ya dar es salaam ya kitambo hiyo na sio zamani sana itakuwa ni 2010 hapo
 
Kunavitu vingine huwa vinauma sana moyoni kuvisahau

1.me kuna filamu fulani tvt mtu na mdogo wake wanaenda mjini toka moro..wa kiume anakuwa teja wakike anakuwa malaya

2.kuna zile zakina bi mchau kuna mateja uswahilini

3.kuna ile ya nyani king itv hio nishaijuaga

4.nitalipataje tunda mwijuma hio naijua

5.star TV sasa wanaanza kulia eeh eeh ooh nuhu tufungulie safina..!!fm academy wanadnanda cosovo.binadamu kidedea
6.kilimanjaro tupendane..itv sana na kina muumini

Old memories huwa nzuri sana unatamani maisha yarudi nyuma hayarudi
Hyo filamu Teja anaitwa Ndende kijana toka Bagamoyo
 
Kwa wajuzi mtu akiweza kuutambua kwa jinsi ntavyokua najaribu kuufanya aujue kuna elfu 20 yake
fafanua hiyo nyimbo ilikuwa kwenye kipindi gani?, au ilikuwa inapigwa kwenye kipindi cha miziki?, midundo yake ni ya haraka au polepole?, vocals anaimba mtu mmoja au wengi?, sauti za vocals ni za watoto?, kiume?, au wanawake?, vocals ni za kutamkika au za mmmm mmmm?.

elezea hiyo soundtrack ipojeipoje, humu kuna watu wa kila aina. utapata jibu tu
 
Kunavitu vingine huwa vinauma sana moyoni kuvisahau

1.me kuna filamu fulani tvt mtu na mdogo wake wanaenda mjini toka moro..wa kiume anakuwa teja wakike anakuwa malaya

2.kuna zile zakina bi mchau kuna mateja uswahilini

3.kuna ile ya nyani king itv hio nishaijuaga

4.nitalipataje tunda mwijuma hio naijua

5.star TV sasa wanaanza kulia eeh eeh ooh nuhu tufungulie safina..!!fm academy wanadnanda cosovo.binadamu kidedea
6.kilimanjaro tupendane..itv sana na kina muumini

Old memories huwa nzuri sana unatamani maisha yarudi nyuma hayarudi
Hiyo namba moja umenikumbusha mbali sana, ilikuwa inabuzunisha sana, huyo wa kiume alianza kuosha magari akaingia kwenye uteja na wakike wazee wakawa wanamsarandia.
 
Yeah ile sijui kama itakuwepo youtube jina lake hulijui?
 
Back
Top Bottom