Kuna wimbo wa watu wa Afrika Magharibi nautafuta ulikua wapigwa ITV miaka ya 90

Kuna wimbo wa watu wa Afrika Magharibi nautafuta ulikua wapigwa ITV miaka ya 90

Master shivoo nimekuja kuijua jina baadae sana miaka ya juzi tu ila kwa miaka zaidi ya kumi nilishindwa niipataje sikuwa na idea.
Scooby niliipenda zamani ila siku hzi nikicheki youtube hazininogei tena

Ila popeye the sailor na Tom and jerry hizo asee bado zina taste ile mbaÿaaaaaa nazikubali

Hazinogi si ushakua mtu mzima [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tom &Jerry ni cartoon yangu ya muda wote
Me napenda kutazama vitu vya kunichekesha, sipendi vitu vya kuumiza hisia.
 
Inaumaga sana asee,mi buana kuna wimbo ulikuwa unapigwa sana channel o sjui jamaa ni mtaifa gani...unaimbwa i want you back,you forget about me,you forget about us(afu sauti ya hiyo chorous ni ile kama ya katoto kadogo,inafanywa na wasanii wengi mfano whenever you go ya jay z).
 
Back
Top Bottom