πππ€Huu usenge wa kulaumu Rais kwenye kila KITU tumeshauchoka SASA tumechoka tumechoka tumechoka, wewe itakua hata ukishakunya utataka Rais akuchambe na ikiwa kwamba Mavi umekunya mwenyewe unaanza kulialia unataka Rais akuchambe kwani wewe hauna Mikoni ya kujichamba umekatwa Mikono wewe?
Na kashaandaliwa,mchongo wa kusafiri na wasanii πMtoa mada, unachoelezea kina ukweli,ila kupitia huyu bibi,tumeliwa
TANZANIA NI SHAMBA LA BIBI WAJANJA WANAPIGA KODI ZA MASIKINI NA HAKUNA ANAYEJALINinapata mashaka na mifumo ya control number huenda imechezewa sana. Katika hali ya kushangaza, mifumo hii ina tabia za kutofautiana sana kutoka taasisi moja hadi nyingine na ndani ya taasisi moja.
Nitatoa mfano;
Nilikuwa nadaiwa pesa yapata laki nne nikapewa control number. Hata hivyo nilitaka kuzilipa kwa awamu mbili, lakini mfumo ulinilazimisha nilipe pesa yote kwa wakati mmoja.
Siku nyingine nilitakiwa kulipa laki na elfu sitini, hata hivyo kwa haraka zangu nilijikuta nimelipa online kupitia benki kiasi cha laki moja na nusu. Nikasubiri majibu kuwa nimelipa, lakini haikunipa majibu yoyote. Nikaenda benki wakaniambia pesa imekatwa na kulipa hiyo pesa lakini control number bado inaonekana haijapokea malipo.
Kwa vile ilikuwa na deadline, niliamua kulipa kupitia njia ya tigo pesa halafu nikawadai benki ile pesa waliyokata kwenye akaunti yangu. Wao wakasema nao wanaidai kwenye taasisi iliyoikata pesa hiyo. Ni mwezi wa tano leo sijaipata pesa hiyo.
Pia kuna wakati nilipigwa faini barabarani kwa kuzidisha spidi ya gari. Nilivyoandikiwa control number, ilionesha jina la mmiliki wa awali wa gari, wakati nilishabadili umiliki TRA. Nilijiuliza kwa nini mifumo hii haisomani? Au kuna kitu kipo nyuma ya pazia hatukijui?
Nashawishika kuamini kuna hujuma kubwa sana inafanywa kwenye hii mifumo na huenda kuna vigogo wa siri hii.
Kwa hali ilivyo, ni Rais pekee ndiye anaweza kufanya kitu. Badala ya kuagiza wanaosimamia mifumo hii wachunguze, anapaswa kuagiza watu wa usalama wa taifa wafanye kazi hiyo. Ikibidi watafute wataalamu wa nje kama vile Israel kuwasaidia. Vinginevyo watu watakuwa wakitakatisha pesa tu na hatuwezi kuwajua.
Pia soma: DOKEZO - Serikali inapata hasara ya mabilioni kwa watumiaji wa mifumo ya TEHAMA kulipia huduma isiyoendana na kiasi cha fedha kilicholipwa
Hiyo mifumo haichezewi na vijana makapuku waliokosa ajira inachezewa na vigogo wakubwa waliopo kwenye mfumoVijana wamesoma IT wapo Street kazi hawana Ajira hawana HAPO ni mwendo wa kuchekecha mifumo TU mpaka kieleweke yaan mpaka Akili ziwakae Sawa
Hivi Serikali haioni km ni HATARI kusomesha Hawa vijana Teknolojia ya Habari na Mawasiliano alafu kuwaacha TU mitaani wanazagaazagaa unafikiri wata-practice wapi kile walichojifunza miaka mingi km SIO kwenye HIO HIO mifumo YAO?
Bado malalamiko yako hayatoshi kuwa facts za kuonyesha kuna wizi kwa sababu zifuatazo:Ninapata mashaka na mifumo ya control number huenda imechezewa sana. Katika hali ya kushangaza, mifumo hii ina tabia za kutofautiana sana kutoka taasisi moja hadi nyingine na ndani ya taasisi moja.
Nitatoa mfano;
Nilikuwa nadaiwa pesa yapata laki nne nikapewa control number. Hata hivyo nilitaka kuzilipa kwa awamu mbili, lakini mfumo ulinilazimisha nilipe pesa yote kwa wakati mmoja.
Siku nyingine nilitakiwa kulipa laki na elfu sitini, hata hivyo kwa haraka zangu nilijikuta nimelipa online kupitia benki kiasi cha laki moja na nusu. Nikasubiri majibu kuwa nimelipa, lakini haikunipa majibu yoyote. Nikaenda benki wakaniambia pesa imekatwa na kulipa hiyo pesa lakini control number bado inaonekana haijapokea malipo.
Kwa vile ilikuwa na deadline, niliamua kulipa kupitia njia ya tigo pesa halafu nikawadai benki ile pesa waliyokata kwenye akaunti yangu. Wao wakasema nao wanaidai kwenye taasisi iliyoikata pesa hiyo. Ni mwezi wa tano leo sijaipata pesa hiyo.
Pia kuna wakati nilipigwa faini barabarani kwa kuzidisha spidi ya gari. Nilivyoandikiwa control number, ilionesha jina la mmiliki wa awali wa gari, wakati nilishabadili umiliki TRA. Nilijiuliza kwa nini mifumo hii haisomani? Au kuna kitu kipo nyuma ya pazia hatukijui?
Nashawishika kuamini kuna hujuma kubwa sana inafanywa kwenye hii mifumo na huenda kuna vigogo wa siri hii.
Kwa hali ilivyo, ni Rais pekee ndiye anaweza kufanya kitu. Badala ya kuagiza wanaosimamia mifumo hii wachunguze, anapaswa kuagiza watu wa usalama wa taifa wafanye kazi hiyo. Ikibidi watafute wataalamu wa nje kama vile Israel kuwasaidia. Vinginevyo watu watakuwa wakitakatisha pesa tu na hatuwezi kuwajua.
Pia soma: DOKEZO - Serikali inapata hasara ya mabilioni kwa watumiaji wa mifumo ya TEHAMA kulipia huduma isiyoendana na kiasi cha fedha kilicholipwa
Hao usalama wa Taifa wao hawawezi kufanya hiyo kazi Hadi waagizwe tu? Au wao kazi Yao ni kuhakikisha ccm haitolewi madarasani?Ninapata mashaka na mifumo ya control number huenda imechezewa sana. Katika hali ya kushangaza, mifumo hii ina tabia za kutofautiana sana kutoka taasisi moja hadi nyingine na ndani ya taasisi moja.
Nitatoa mfano;
Nilikuwa nadaiwa pesa yapata laki nne nikapewa control number. Hata hivyo nilitaka kuzilipa kwa awamu mbili, lakini mfumo ulinilazimisha nilipe pesa yote kwa wakati mmoja.
Siku nyingine nilitakiwa kulipa laki na elfu sitini, hata hivyo kwa haraka zangu nilijikuta nimelipa online kupitia benki kiasi cha laki moja na nusu. Nikasubiri majibu kuwa nimelipa, lakini haikunipa majibu yoyote. Nikaenda benki wakaniambia pesa imekatwa na kulipa hiyo pesa lakini control number bado inaonekana haijapokea malipo.
Kwa vile ilikuwa na deadline, niliamua kulipa kupitia njia ya tigo pesa halafu nikawadai benki ile pesa waliyokata kwenye akaunti yangu. Wao wakasema nao wanaidai kwenye taasisi iliyoikata pesa hiyo. Ni mwezi wa tano leo sijaipata pesa hiyo.
Pia kuna wakati nilipigwa faini barabarani kwa kuzidisha spidi ya gari. Nilivyoandikiwa control number, ilionesha jina la mmiliki wa awali wa gari, wakati nilishabadili umiliki TRA. Nilijiuliza kwa nini mifumo hii haisomani? Au kuna kitu kipo nyuma ya pazia hatukijui?
Nashawishika kuamini kuna hujuma kubwa sana inafanywa kwenye hii mifumo na huenda kuna vigogo wa siri hii.
Kwa hali ilivyo, ni Rais pekee ndiye anaweza kufanya kitu. Badala ya kuagiza wanaosimamia mifumo hii wachunguze, anapaswa kuagiza watu wa usalama wa taifa wafanye kazi hiyo. Ikibidi watafute wataalamu wa nje kama vile Israel kuwasaidia. Vinginevyo watu watakuwa wakitakatisha pesa tu na hatuwezi kuwajua.
Pia soma: DOKEZO - Serikali inapata hasara ya mabilioni kwa watumiaji wa mifumo ya TEHAMA kulipia huduma isiyoendana na kiasi cha fedha kilicholipwa
Na bado...mpaka mseme! Dadadeq!Huu usenge wa kulaumu Rais kwenye kila KITU tumeshauchoka SASA tumechoka tumechoka tumechoka,
Hata wakipewa ajira wataibaVijana wamesoma IT wapo Street kazi hawana Ajira hawana HAPO ni mwendo wa kuchekecha mifumo TU mpaka kieleweke yaan mpaka Akili ziwakae Sawa
Hivi Serikali haioni km ni HATARI kusomesha Hawa vijana Teknolojia ya Habari na Mawasiliano alafu kuwaacha TU mitaani wanazagaazagaa unafikiri wata-practice wapi kile walichojifunza miaka mingi km SIO kwenye HIO HIO mifumo YAO?
Acha uchawi vijana wapewe AjiraHata wakipewa ajira wataiba
Coz wanaoiba wapo ofisin
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nakata tamaa, hivi hawa CCM watatufikisha pahala kweli kama mambo yenyewe ndiyo haya ndugu zangu.Hizo hela zinachepushwa na kuingia mifukoni mwa watu! Mbona hiko wazi? Issue ya Mbeya na Arusha uliisikia? Issue ya michango ya waajiriwa kwa mifuko ya jamii hasahasa PSSSF uliisikia? Hela yote inapigwa! Huyu mama ni bogus kabisa! Alafu CCM eti aongezewe 5! Nani wa kuliokoa taifa hili jamani? Labda Makonda tumpe nchi!
MJINGA mmoja ni wewe plus Ukoo wako woteNa bado...mpaka mseme! Dadadeq!
Huyu tunae na tutamsema sana,
Raisi amekuwa mlenda kuliko mlenda wenyewe, watu wanapiga pesa kweupe yeye kimya. Hata kauli ya kukemea tu hakuna... halafu mjinga mmoja anasema amechoka.
HAO HAO wametoka familia Masikini TUHiyo mifumo haichezi na vijana makapuku waliokosa ajira inachezewa na vigogo wakubwa waliopo kwenye mfumo
Leo naona uko zamu Mkuu.MJINGA mmoja ni wewe plus Ukoo wako wote